NGOSWE.120
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 219
- 234
- Thread starter
- #101
ASANTE kiongozi, ndio maana niliomba ushauri ili nyie wajuzi wa mambo mnisaidie kufumbua hili fumbo.Pole sana kiongozi hakunaga mapenzi yakiivyo , nina hisi umepigwa kibuti.

Pole sana mkuu NgosweMkuu asante kwa maoni yako, najifunza kitu katika maneno mazito uliyoongea hapo juu. ASANTE.
Wapendwa Wana JF,
Nimekuwa katika uhusiano na dada mmoja mzuri sana, na kulingana na nilivyo mtathimini anaonekana ni wife material, I admit to say that from my heart. Tatizo lililopo ni kuwa tunaishi mikoa mbali mbali. Mimi naishi mkoani kagera, na yeye anaishi mkoa wa Katavi.
Toka tufahamiane tumekuwa na mawasiliano active muda wote, though mikwaruzo ya mara chache chache sana hutokea na immediately we resolve it and become one thing again.
USHAURI:
Kwa kuwa tumeadhimia kuweka mambo yetu hadharani kwa wanafamilia mwishoni mwaka huu (december, 2016), huyu mpenzi wangu ameniomba na kushauri kuwa ni vema tusiwe na mawasiliano kwa muda wa miezi mitano toka sasa hadi mwezi september, 2016 ili ibaki miezi mitatu...then ndio tuanze mawasiliano motomoto kuelekea december kukamiliasha mambo muhimu ya kutuunganisha rasmi.
Kasisitiza kuwa ili kufanikisha hilo kila mmoja am-block mwenzake kwenye simu na kusiwe na mawasiliano hadi tarehe 1 semptember, 2016. Mimi nilishangazwa na kauli ile, kwa haraka ili kupima upepo nione itakuaje. Nilipomkubalia tu, basi akani-block kweli hadi muda huu naandika huu uzi.
1. Wadada kweli mnaweza fanya hivyo kwa mtu unayempenda kwa dhati - kutowasiliana nae for 5 months?
2. Inawezekana kuna jambo nyuma ya pazia huko katavi na mimi nisijue kinachoendelea?
Nipo njia panda...nishaurini....nielekeee upande wa kulia kumfuata atakavyo yeye au mimi niamue kufuata njia nyingine upande wa kushoto?
NB: Naombeni ushauri sahihi hasa kwa watalaam wa mambo ya mahusiano yenye muelekeo wa ndoa.
KARIBUNI.
Vibuti vya siku hizi ni vya kisayansi sana!Pole sana kiongozi hakunaga mapenzi yakiivyo , nina hisi umepigwa kibuti.
Mimi kuna dem wangu 1 alikuwa chuo nikimpenda sana, kuna siku alinipa story kama hiyo tusitafutane hadi yeye amalize chuo then ndo turejeshe uhusiano kwa ndoa mana alinambia mara nying nikimtafuta anakuwa hana mda na namdistabu lakini wakati huo huo ananishauri mimi jambo hilo yeye ukimpigia simu ni nadra sana simu yake kukuta haiku busy ata nyakati za usiku nikagundua anahitaji freedom ili astarehe na mume mwenzagu.
Nilisema na moyo wangu nikaachana naye. Niliumia sana lakini nilimuacha, Baada ya kumaliza chuo aliweka prof picha ya mwanamme na status ya kusema kwamba amezama kwake mimi pia nikawa kimya.
Baada ya muda ivi nadhan jamaa naye walipigana chini akaanza kunitafuta tafuta nikawa sina tyme naye na simtaki sipokei simu zake. Sasa na wewe sema na moyo wako huyo so wako tena someone is enjoying with her, kuna mtu anakula vitamu dawa yake ni kumsahau tu. Tafuta wa karibu yako ukilazimisha utaumizwa zaidi ya hapo.
hivi haya mapenz yanawafanya muwe watoto? Hapo mzingue na hzo bla bla zake ka vp pga down songa mbeleWapendwa Wana JF,
Nimekuwa katika uhusiano na dada mmoja mzuri sana, na kulingana na nilivyo mtathimini anaonekana ni wife material, I admit to say that from my heart. Tatizo lililopo ni kuwa tunaishi mikoa mbali mbali. Mimi naishi mkoani kagera, na yeye anaishi mkoa wa Katavi.
Toka tufahamiane tumekuwa na mawasiliano active muda wote, though mikwaruzo ya mara chache chache sana hutokea na immediately we resolve it and become one thing again.
USHAURI:
Kwa kuwa tumeadhimia kuweka mambo yetu hadharani kwa wanafamilia mwishoni mwaka huu (december, 2016), huyu mpenzi wangu ameniomba na kushauri kuwa ni vema tusiwe na mawasiliano kwa muda wa miezi mitano toka sasa hadi mwezi september, 2016 ili ibaki miezi mitatu...then ndio tuanze mawasiliano motomoto kuelekea december kukamiliasha mambo muhimu ya kutuunganisha rasmi.
Kasisitiza kuwa ili kufanikisha hilo kila mmoja am-block mwenzake kwenye simu na kusiwe na mawasiliano hadi tarehe 1 semptember, 2016. Mimi nilishangazwa na kauli ile, kwa haraka ili kupima upepo nione itakuaje. Nilipomkubalia tu, basi akani-block kweli hadi muda huu naandika huu uzi.
1. Wadada kweli mnaweza fanya hivyo kwa mtu unayempenda kwa dhati - kutowasiliana nae for 5 months?
2. Inawezekana kuna jambo nyuma ya pazia huko katavi na mimi nisijue kinachoendelea?
Nipo njia panda...nishaurini....nielekeee upande wa kulia kumfuata atakavyo yeye au mimi niamue kufuata njia nyingine upande wa kushoto?
NB: Naombeni ushauri sahihi hasa kwa watalaam wa mambo ya mahusiano yenye muelekeo wa ndoa.
KARIBUNI.
hicho kipengele cha pili ndo jibu mkuu, mtu unayempenda usiwasiliana nae kwa siku nzima tu ni tatizo....tunatoka kwenda kibaruani asubuhi ukiwa na uhakika wa kurudi jioni lkn haifiki saa nne ushamtext wife zaidi ya mara mbili,tatu...itakuwa hii ya kukaa kimya miezi kadhaa??Wapendwa Wana JF,
Nimekuwa katika uhusiano na dada mmoja mzuri sana, na kulingana na nilivyo mtathimini anaonekana ni wife material, I admit to say that from my heart. Tatizo lililopo ni kuwa tunaishi mikoa mbali mbali. Mimi naishi mkoani kagera, na yeye anaishi mkoa wa Katavi.
Toka tufahamiane tumekuwa na mawasiliano active muda wote, though mikwaruzo ya mara chache chache sana hutokea na immediately we resolve it and become one thing again.
USHAURI:
Kwa kuwa tumeadhimia kuweka mambo yetu hadharani kwa wanafamilia mwishoni mwaka huu (december, 2016), huyu mpenzi wangu ameniomba na kushauri kuwa ni vema tusiwe na mawasiliano kwa muda wa miezi mitano toka sasa hadi mwezi september, 2016 ili ibaki miezi mitatu...then ndio tuanze mawasiliano motomoto kuelekea december kukamiliasha mambo muhimu ya kutuunganisha rasmi.
Kasisitiza kuwa ili kufanikisha hilo kila mmoja am-block mwenzake kwenye simu na kusiwe na mawasiliano hadi tarehe 1 semptember, 2016. Mimi nilishangazwa na kauli ile, kwa haraka ili kupima upepo nione itakuaje. Nilipomkubalia tu, basi akani-block kweli hadi muda huu naandika huu uzi.
1. Wadada kweli mnaweza fanya hivyo kwa mtu unayempenda kwa dhati - kutowasiliana nae for 5 months?
2. Inawezekana kuna jambo nyuma ya pazia huko katavi na mimi nisijue kinachoendelea?
Nipo njia panda...nishaurini....nielekeee upande wa kulia kumfuata atakavyo yeye au mimi niamue kufuata njia nyingine upande wa kushoto?
NB: Naombeni ushauri sahihi hasa kwa watalaam wa mambo ya mahusiano yenye muelekeo wa ndoa.
KARIBUNI.
Hivi bado unasubir kusoma number?Wapendwa Wana JF,

Kuwa makini asije kuwa na mpango wa kando.Hicho ndicho hata mimi kilinishangaza sana, kwanini hataki mawasiliano....yaani ani-block, na mimi nim-block! Dah still confusing kwa kweli
Ah ah ah umeona eeh my dear. Tunaposema Mungu tupe macho tuone ni kama hivi. Atufungue ufahamu tujue nin maana ya mamboKhaaaaaa nimeshindwa kushangaa.
Sure sis, maana kuna muda fahamu zetu zinakuwa kama zimefungwa sijui. Kitu kipo wazi kabisa, ila kama huoni vileAh ah ah umeona eeh my dear. Tunaposema Mungu tupe macho tuone ni kama hivi. Atufungue ufahamu tujue nin maana ya mambo
Yaan ndio upofu huu.Sure sis, maana kuna muda fahamu zetu zinakuwa kama zimefungwa sijui. Kitu kipo wazi kabisa, ila kama huoni vile
Wapendwa Wana JF,
Nimekuwa katika uhusiano na dada mmoja mzuri sana, na kulingana na nilivyo mtathimini anaonekana ni wife material, I admit to say that from my heart. Tatizo lililopo ni kuwa tunaishi mikoa mbali mbali. Mimi naishi mkoani kagera, na yeye anaishi mkoa wa Katavi.
Toka tufahamiane tumekuwa na mawasiliano active muda wote, though mikwaruzo ya mara chache chache sana hutokea na immediately we resolve it and become one thing again.
USHAURI:
Kwa kuwa tumeadhimia kuweka mambo yetu hadharani kwa wanafamilia mwishoni mwaka huu (december, 2016), huyu mpenzi wangu ameniomba na kushauri kuwa ni vema tusiwe na mawasiliano kwa muda wa miezi mitano toka sasa hadi mwezi september, 2016 ili ibaki miezi mitatu...then ndio tuanze mawasiliano motomoto kuelekea december kukamiliasha mambo muhimu ya kutuunganisha rasmi.
Kasisitiza kuwa ili kufanikisha hilo kila mmoja am-block mwenzake kwenye simu na kusiwe na mawasiliano hadi tarehe 1 semptember, 2016. Mimi nilishangazwa na kauli ile, kwa haraka ili kupima upepo nione itakuaje. Nilipomkubalia tu, basi akani-block kweli hadi muda huu naandika huu uzi.
1. Wadada kweli mnaweza fanya hivyo kwa mtu unayempenda kwa dhati - kutowasiliana nae for 5 months?
2. Inawezekana kuna jambo nyuma ya pazia huko katavi na mimi nisijue kinachoendelea?
Nipo njia panda...nishaurini....nielekeee upande wa kulia kumfuata atakavyo yeye au mimi niamue kufuata njia nyingine upande wa kushoto?
NB: Naombeni ushauri sahihi hasa kwa watalaam wa mambo ya mahusiano yenye muelekeo wa ndoa.
KARIBUNI.
Hamnaga mapenzi ya aina hiyo,angalia usipoteze muda wako,tafuta maisha acha kupoteza muda na huyo msichana...kaa utulie utapata mwanamke sahihi wa ndoto zako.Wapendwa Wana JF,