Jamani mbona mnasema vibaya mama yangu? alikuwa amekunywa supu anayokunywa Makmba, Chiligati na Wassira hakujua kama aliongea hivyo na wala hakusema kuwa Chadema inapewa misaada kutoka Magharibi bali alikuwa anasema Chadema inataka kufunga milango kwa Mafisadi ili wasiiifaidi nchi amefanya kosa...
Kwani hawajitaki wee unafikiri mwizi anajipeleka mwenye Polisi? Wakanushe wakati wanajua ukweli na hawawezi kukanusha kwa kuwa wanajua Dr.Slaa ana ushahidi tosha wa kuwakandamiza
Wana-JF Naomba kutoa mawazo yangu kuhusu Katiba Mpya kama ikitungwa basi kisisahaulike kifungu kitakacho komesha RUSHWA a.ka Ufisadi. Na kianze mara moja kutumika na Mafisadi wote kama wakina Chenge, Lowassa, Rostam Aziz, Kikwete, Mkapa, Karamagi na Mafisadi wengine wote walihusika kutuingiza...
Mi naona ni Viongozi wa Chama cha Mafisadi ndio wanatakiwa kuombewa na kupelekwa Mirembe wao ndio wanaotusababishia Matatizo yote tunayojitakia Kikwete ndio anatakiwa kuongoza huo Msafara wa Mirembe akifuatiwa na Makamba, Chiligai, Wasira, Pinda, Lowassa, Anna au Anne, Anye Makimba, Chenge no no...
Serikali yenyewe ya Tanzania inayoongozwa na Mafisadi? Mafisadi wameiba pesa mpaka hazina haina pesa bado wanataka kuiba nyingine halafu Mwanakijiji unasema fisadi Mkwere alifikirie hilo swala la kurudisha misaada wakati wameshaiingiza kwenye maketi yao ya Ufisadi. Kama angekuwapo Rais ndio...
Mimi sina hata lakusema kwa jinsi nilivyo na hasira na hiyo Serikali ya Mkwere, Vijana wote hatuna kazi, nchi imejaa utajiri lakini nafasi wamepewa wageni mzawa ukifungua kabiashara TRA hao wametia timu kuja kuua mtaji wako. Mimi wala sijui hii serikali ya Mkwere inataka tuishi vipi. Kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.