Jk, el, ra, wapelekeni chadema mahakamani

Ibinzamata

Member
Nov 16, 2007
12
0
CHADEMA walipofungua mkutano wao wa kampeni za uchaguzi 2010 pale Jangwani, walitamka kinaga ubaga kuwa wakwapuaji wakubwa wa pesa za Taifa ili kupitia "Benki yetu ya kati" ni Jakaya Kikwete, Rostam Aziz na Edward Lowasa. Kwamba walijipenyeza na kufanikiwa kumshawishi Ben Mkapa ashiriki wizi huu wa kihistoria.

CHADEMA walienda mbele wakazungumzia madudu mengine waliyofanywa na vinara hao wa CCM, kama vile Meremeta, TANGOLD, CIS, IPTL, DeepGreen, Buzwagi, nk.

Cha ajabu sasa, hajatokea kiongozi hata mmoja kati yao kukanusha haya au kujitahidi kusafisha jina lake kwani CHADEMA wameyachafua kweli hadharani. Kinachoshangaza, wanakimbilia kulalamika, CHADEMA inachochea vurugu, CHADEMA inavunja katiba kwa kuitisha maandamano ya kuing'oa serikali na ulalamishi kibao.

KWANINI KIKWETE, LOWASA ROSTAM AZIZ msiipeleke CHADEMA MAHAKAMANI??? KWANINI. NENDENI MAHAKAMANI ILI SIE TUWEZE KUUJUA UZUSHI NA UCHOCHEZI WA CHADEMA
 
Ulikwisha ona binadamu anamfuata mungu nyumbani kwake akiwa mzima?
 
Kwani hawajitaki wee unafikiri mwizi anajipeleka mwenye Polisi? Wakanushe wakati wanajua ukweli na hawawezi kukanusha kwa kuwa wanajua Dr.Slaa ana ushahidi tosha wa kuwakandamiza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom