Wassira on ITV (kipindi maalum)

Wassira on ITV (kipindi maalum)

Amechanganyikiwa huyo wa muitie Bajaji au Pikipiki wamuwahishe Muhimbili kabla hajavua nguo inavyoonekana hata akilala anaiota Chadema inaingia Ikulu, amepungukiwa akili Wasira msaada wa Bajaji unahitajika ITV
 
Wassira yupo kwenye ITV live sasa hivi.

He is a vocalist in "JK Jazz Band "(Ansbert Ngurumo nailed it). Is he coming with a new song or the same song but changed poems/stanza?

D'wayo, observe pupils of his eyes as he sings and articulation of his head.
Tell us what is happening on the stage. Perhaps tommorow we could hear the voices of back-vocalist, etc.
 
Huyu jamaa anayehoji ni mnyonge sana.
Hafai. Anasikiliza tu!
 
Huyu jamaa anayehoji ni mnyonge sana.
Hafai. Anasikiliza tu!
Biggie... unadhani anapenda hata kumhoji? siku hizi wanapewa memo tu kwamba mkubwa anakuja msimsumbue hali nimbaya

kwakweli itatia uchungu jamani
 
Namwona mtangazaji anamwachia tu Wassira aseme apendalo.
 
Anyway, anachoongea hapa ni kilekile kusema kuwa Chadema wanataka kutumia nguvu ya umma kuipindua serikali. It is not worth reporting.
 
Wakuu ni vituko tupo sura na ma kauli ful kuboa am out nikagonge vyombo
 
hakuna sababu ya kuwasha tv nikaongeza kula unit za luku kwa ajili ya kusikiliza pumba.
 
Kweli huyu mwandishi naye amepwaya mno kashindwa kabisa kumbana kwa maswali ya ukweli.....labda anaogopa sura yake,maana Wassira anacheki moja kwa moja usoni.....Maana ile sura simchezo,kama huna roho ngumu huwezi kutazamana naye ....
 
Back
Top Bottom