Lembeli - Ondoeni Mafisadi CCM

kapotolo

JF-Expert Member
Sep 19, 2010
3,727
2,214
Mbunge wa Kahama James Lembeli amewaonya wana-ccm wasipokisafisha chama wasishangae watakapokosa majimbo yote ya mkoa wa Shinyanga.
Ameomba Mafisadi watimuliwe kwenye Chama ili chama kiendelee kukubalika miongoni mwa watanzania.
Ameshangaa kuona mkoa wa Shinyanga ukipoteza majimbo matano kati ya 11.

Source: ITV
 
Ni wachache sana wanaozungumza hiyo lugha ndani ya ccm, hiyo lugha haiwezi kusemwa na makamba & co hata siku moja!
 
Back
Top Bottom