ccm wako kwenye dawa za usingizi

mmzalendo

Senior Member
Nov 1, 2010
165
1
wakati nyingine ukiwasikiliza viongozi wetu hawa hasa mawaziri
inasikitisha sana hivi wanaongea kwanza ndio wanafikilia au wanaongea ili sisi wananchi tufikilie
kwa mfano huyo membe kutuambia sisi kunachama kina pewa hela kuondoa amani ina maana ccm wana mpango wa kutumia jeshi?
au kuondoa amani ni kuiondoa ccm madarakani?
kama wangefanya mambo ya ukweli watu tukaona maendeleo chadema wangejaza watu kwenye hayo maandamano kwenye
hawa ni wazushi wameshindwa kazi zao
kaeni ofisi kusubilia hawamu ihishe tumesha wachoka
 
Back
Top Bottom