Tanzania ipelekwe mirembe kwa nguvu!...ni mwendawazimu anayekataa kusaidiwa.

Mzanaki

Member
Feb 25, 2011
20
11
Ni jambo la kawaida kwa mgonjwa wa akili kukataa kata kata kuwa yu mgonjwa na badala yake huwaona wanaomsaidia kuwa ndiyo vichaa.Tanzania ya leo haina tofauti na kichaa huyu na inapaswa kupatiwa dawa la sivyo itaishia pabaya.Tanzania ya leo Kila waziri ana serikali yake mwenyewe,waziri mkuu serikali yake, rais serikali yake kule ikulu, CCM serikali yake inayoongozwa na Sophia Simba, bunge nalo linashikilia serikali yake inayoongozwa na Mrema, Jeshi nalo......huu ni wendawazimuuuuu!.Tanzania ipelekwe Mirembe kwa nguvu!.
 
Mkuu Tanzania au CCM au wanasiasa wetu au Viongozi wa serikali yetu au Serikali, Ukisema Tanzania unaunganisha na Wananchni wote ambao mi naona ni innocents
 
Mi naona ni Viongozi wa Chama cha Mafisadi ndio wanatakiwa kuombewa na kupelekwa Mirembe wao ndio wanaotusababishia Matatizo yote tunayojitakia Kikwete ndio anatakiwa kuongoza huo Msafara wa Mirembe akifuatiwa na Makamba, Chiligai, Wasira, Pinda, Lowassa, Anna au Anne, Anye Makimba, Chenge no no no tu chenge na Rostam Lowassa Karamagi na Mafisadi wengine wote wanatakiwa wanyongwe au wafungwe maisha,
 
Back
Top Bottom