Dah! Leo cdma wamevuliwa chupi wako mbee na madudu yao.
Mkuu huyu wasira ana problem kubwa. Anatumika kama zombie.Biggie... unadhani anapenda hata kumhoji? siku hizi wanapewa memo tu kwamba mkubwa anakuja msimsumbue hali nimbaya
kwakweli itatia uchungu jamani
yap mkuu bora hata kuangalia katuni kuliko kuhangaika na Zamadu!hakuna sababu ya kuwasha tv nikaongeza kula unit za luku kwa ajili ya kusikiliza pumba.
Mkuu huyu wasira ana problem kubwa. Anatumika kama zombie.
Hawa wamelipa how much itv kurusha kipindi hiki?
Waziri anaposimamia maslahi ya ccm badala ya katiba ya nchi maana yake nini?
Ahaa, anasema ccm itajibu mashambulizi kwa maandamano
Kweli huyu mwandishi naye amepwaya mno kashindwa kabisa kumbana kwa maswali ya ukweli.....labda anaogopa sura yake,maana Wassira anacheki moja kwa moja usoni.....Maana ile sura simchezo,kama huna roho ngumu huwezi kutazamana naye ....
Bado anasema Chadema wanataka kuiondoa serikali kwa mabavu.
Anasema Watanzania wana umoja. Kazi yake na serikali ni kuimarisha umoja. Kuhakikisha kuwa dini haiwagawi Watanzania.
Hivi kweli, hizi propaganda si ni za vyama?
Kwa taharifa yako......hoja ujibiwa kwa hoja......Jtatu ijayo Chadema ndani ya nyumba mda huu huu na mada hii hii.Dah! Leo cdma wamevuliwa chupi wako mbee na madudu yao.
Kwa taharifa yako......hoja ujibiwa kwa hoja......Jtatu ijayo Chadema ndani ya nyumba mda huu huu na mada hii hii.
Na ninakuomba usikose kuwatch that day.....uone wanaume watavyomjibu huyo Wasira na ccm yake yote....kwa hoja
zilizokwenda shule