CCM wanahaha kwa kuwa wanajua CDM haifi; Inakua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wanahaha kwa kuwa wanajua CDM haifi; Inakua

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ng'wanangwa, Mar 13, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  hawaoni dalili kama za lyatonga na nccr za chama kupotea maboya.

  hawaoni dalili kama za cuf kwamba ipo siku watakirubuni na kufunga nacho ndoa haramu.

  wanaona cdm kinakua tu.

  kinazidi kupendwa na hakuna dalili ya kuyumba.

  penyeapa ndo ccm wanapata taabu kwelikweli.
   
 2. Mwanaitelejensi

  Mwanaitelejensi Senior Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema inakuwa na ccm inakufa zinapishana:lol:
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  CCM is striving to be a success in elections, but rather not to be of value to the electorates.[FONT=&quot]This trends is inherently deceitful!

  [/FONT]
   
Loading...