Katiba mpya ihusishe na kunyonga au kufunga maisha mafisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya ihusishe na kunyonga au kufunga maisha mafisadi

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Mwanaitelejensi, Mar 14, 2011.

 1. Mwanaitelejensi

  Mwanaitelejensi Senior Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana-JF Naomba kutoa mawazo yangu kuhusu Katiba Mpya kama ikitungwa basi kisisahaulike kifungu kitakacho komesha RUSHWA a.ka Ufisadi. Na kianze mara moja kutumika na Mafisadi wote kama wakina Chenge, Lowassa, Rostam Aziz, Kikwete, Mkapa, Karamagi na Mafisadi wengine wote walihusika kutuingiza kwenye Mikataba FEKI ni wakunyonga tu. Kwa hiyo Wana-JF naomba tuanzeni mchakato wa kuingiza au kuhimiza Watz kuwa hiki kifungu ni lazima kinapitishwa:teeth:
   
 2. p

  plawala JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama wanavyofanya China,hawacheki na mwizi,ipitishwe haraka ili itumike kwa waliopo
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Wale jamaa huwa hawana utani, mwamzoni ulikuwa ukifanya kosa basi familia yako yote inaadhibiwa na mwisho we unawafuata kifoni. Badae wakapunguza makali kwamba ukifanya kosa basi unaadhibiwa wewe mwenyewe kwa kukatwa kichwa hadharani. Kwa bongo hii itafaa!
   
Loading...