Recent content by Mwamdisi

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mara nyingine maisha ya ndoa ni Vita. Huyu jamaa sijui nimfanyeje?

    Una akili sana!Ushauri wako ni jengefu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

    Kwangu mwanamke mvaa wigi hana nafasi,namuona kama kinyago cha mpapule! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Geita: Mtemi azikwa na watu hai wawili

    Upumbavu,ujinga na kutotafakari ni shida Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume ni mambo gani yanawakera kutoka kwa wanawake wakati wa Sex!

    Kunuka UKE ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi. Utakuta nje mwonekano mzuri,sasa subiri avue nguo,utastaajabu!Hali hii hupoteza kabisa hamu ya ngono,ni hatari.Badilikeni,USAFI ni afya. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya Urais wa DARUSO yatimia

    Muda ule ilikuwa Serikali kweli ya wanafunzi,viongozi wa ukweli akina Owawa,sasa hivi hoi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya Urais wa DARUSO yatimia

    Kuweni makini,mmegeuza DARUSO ni pango la vibaka.Kimsingi DARUSO ya sasa imechoka,imekuwa kibogoyo!Unaifahamu Level square?Umewahi kufika hapo na kujadili matatizo yetu?
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri; Mke wangu amenisaliti na sasa ana mimba

    Pole sana!Maisha yana majaribu mengi,nashauri usimgombeze,ujishushe muulize aseme ukweli sababu za kukusaliti.Akionesha kiburi chukua hatua stahiki,akikiri kwa dhati mkapime HIV na DNA test,ikiwa salama msamehe.Kama ana akili sawasawa kamwe hatarudia!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natongozwa sana na wanawake

    Upo sahihi.Mwanaume unaletaje maneno kama hayo hapa.Eti natongozwa na wanawake,aibu!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

    Upo sahihi,siku ya kukamatwa atajuta!
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananilazimisha nimtongoze binti yake mlokole

    Inaonesha una upunguani kichwani,hivi kweli wewe ni mwanaume?Pole sana,unatuaibisha!
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu msichana mimi simuelewi

    Una akili sana!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mh. Rais kuzungumza lugha ya kabila lake katika mkutano wa hadhara?

    Acha ushamba.Unaleta uanaharakati mpaka kwenye kazi za watu?Tatizo liko wapi?
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kinamliza mwanamke kitandani?

    [emoji106] uko vema sana,wape shule.P yangu naitumia vema,tukikutana na mtoto lazima akubali ujuzi.Ukubwa wa pua .....
  14. M

    JamiiForums Tanzania Malimbikizo ya mishahara yatalipwa lini?

    Kwa kweli serikali ilipe haki za watu mapema,ili wafanye kazi kwa morali.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Shigongo: CCM wamekulipa deni lako au unaisoma kimyakimya?

    Umefubaa akili,ndio nini umeleta hapa?Hiki ni kilinge cha udaku?Pilipili usiyoila yakuwashia nini?
Back
Top Bottom