BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,928
We ulizan ni nn mkuuHivi UDSM chuo kikuu bado au
We ulizan ni nn mkuuHivi UDSM chuo kikuu bado au
Umenikumbusha mbali enzi za odong odwaaa...sijuhi yuko wapi sasa.Nikiwa ni mgombea urais wa daruso (Serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha dar es salaam) kwnye uchaguzi mkuu unaoendelea chuoni sasa ni furaha yang sasa kushae nanyi wanajamvi wenzangu ili kwa mawazo na ushauri wenu tuweze kuijenga daruso mpya kwa ustawi wa taifa hili.
Daruso mpya kwa ustawi wa taifa? Kama unamaanisha taifa stars powa, sio nchi maana hamna mchango wowote kwa taifa, wala hamjawahi kuwa na nchango wala hamtawahi kuwa na mchango kwa taifa.Nikiwa ni mgombea urais wa daruso (Serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha dar es salaam) kwnye uchaguzi mkuu unaoendelea chuoni sasa ni furaha yang sasa kushae nanyi wanajamvi wenzangu ili kwa mawazo na ushauri wenu tuweze kuijenga daruso mpya kwa ustawi wa taifa hili.
Nchi imepatikana, Rais wa DARUSO unayempendekeza hana creativity. Kwanza ameiba slogan ya Lissu wakati wa kugombea urais TLS. Pili slogan yenyewe ina makosa ya kiuandishi "rediscovering"Jamaa acha kudanganya watu mgombea wetu tunayemuamini ni huyu hapa![]()
Rais wa nchi anaitwa 'mufalme'Marais wengi waendelee ila rais wa nchi atafutiwe jina jingine,ss tumezoea kuita rais wa TFF na rais wa yanga!
Kuweni makini,mmegeuza DARUSO ni pango la vibaka.Kimsingi DARUSO ya sasa imechoka,imekuwa kibogoyo!Unaifahamu Level square?Umewahi kufika hapo na kujadili matatizo yetu?Jamaa acha kudanganya watu mgombea wetu tunayemuamini ni huyu hapa![]()
Muda ule ilikuwa Serikali kweli ya wanafunzi,viongozi wa ukweli akina Owawa,sasa hivi hoi.Umenikumbusha mbali enzi za odong odwaaa...sijuhi yuko wapi sasa.
Kina mtatiro Julius akiwa waziri wa mikopoMuda ule ilikuwa Serikali kweli ya wanafunzi,viongozi wa ukweli akina Owawa,sasa hivi hoi.
Enzi zetu ukibandika picha pale nkurumah au popote...utakuta imechafuka kwa comment ukiwa na roho nyepesi unajiengua ...maana si kwa matusi Yale.Jamaa acha kudanganya watu mgombea wetu tunayemuamini ni huyu hapa![]()
Umejifichaficha weee!! Lakini anayekuumiza kichwa ni Lisu tu.Inabidi hivi vyeo vingine vitaftiwe majina mbadala rais abaki wa JMT tu. Marais mara wa tff, mara lisu, mara daruso nk.
Makutano ya vilazaWe ulizan ni nn mkuu
Kweli kabisa mkuu.Kwa taarifa yako siasa chaff za nchi kwa kias kikubwa zinatokana na siasa chaff za vyao vikuu na kinayume chake. Usishangae hayo
Makutano ya vilaza
na jambo la kujivunia kimerudi kwenye top ten ya best university in AfricaHivi UDSM chuo kikuu bado au