Amon Mtekateka
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 1,225
- 333
...anadai binti yake ananifaa na kweli ananifaa yapata wiki ya tatu ananiambia ayo maneno nashindwa nifanyeje...
mkuu nakupmAseeeh
Huduma anayotaka umpe mtoto wake mpe yyeNdo ipi iyo
Inaonesha una upunguani kichwani,hivi kweli wewe ni mwanaume?Pole sana,unatuaibisha!Ni mzuri ila jinsi nnavyoheshimiana na mamaake namwona Kama dada
Kuna binti yake wa tatu kamaliza diploma mambo ya kilimo mlokole sana kwa kweli mzuri msitaarabu sana MAMA yake ananilazimisha nimtongoze awe mpenzi wangu anadai anatamani Sana niwe mkwe wake na anadai binti yake ananifaa na kweli ananifaa yapata wiki ya tatu ananiambia ayo maneno nashindwa nifanyeje
Basi Mwambiee una mchumbaNdio ninaye anachodai mamaake hajawai kuona binti yake akiwa na mishemishe na mabwana anahisi kuna kitu hakipo sawa ni mrembo sana