Swali kwa Shigongo: CCM wamekulipa deni lako au unaisoma kimyakimya?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
Naomba hili swali lijibiwe na ndugu yetu bwana Erick Shigongo! Hawa wenzetu wamemlipa deni lake analowadai au ameamua alie kimyakimya baada ya kilio chake cha hadharani kutoshughulikiwa kikamirifu?

Karibu mpe ndugu yetu Shigongo kwa majibu.
 
Kwani ana ID ambayo ni verified hapa JF?
Mimi nadhani ungeulza na ukaacha wachangiaji watiririke wenyewe ungepata jibu lako
 
Alisema anaipenda Sana CCM (Siyo Tanzania) sasa hata wasipomlipa ni sawa tu.
 
Umefubaa akili,ndio nini umeleta hapa?Hiki ni kilinge cha udaku?Pilipili usiyoila yakuwashia nini?
 
Back
Top Bottom