Recent content by Mwambao

  1. M

    Nilichojionea wakati wa utowaji maoni tume ya katiba mpya kwa Wawakilishi - Zanzibar

    Nimeangalia CD iliyorikodiwa sijui na nani wakati wawakilishi wa baraza kama watu binafsi wakitowa maoni juu ya katiba mpya waitakayo kama sehemu ya wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Lakini kwa kweli kilichonihuzunisha mimi na mpaka sasa nasikia aibu ndani ya nafsi yangu ni jinsi ya...
  2. M

    King'amuzi cha coconut kimekaa kitapeli zaidi

    Ndugu wana jamvi hivi karibuni nimenunua king'amuzi cha coconut huku zanzibar maana kwa kipindi hili nipo huku visiwani yaani kimekaa kitapeli zaidi maana hakuna lolote linaloendelea yaani tumelipia laki moja lakini hatupati channel hata moja ipo kama mtandao wa tigo unaingia na kutoka unaona...
  3. M

    Maandamano kupinga kuwepo kwa BAR mitaani eneo lote la Kiembe Samaki, Zanzibar

    Ndugu wana JF wote wale wanaochukia madhila kwa wananchi munaalikwa nyote katika maandamano ya kupinga kuwepo kwa BAR maeneo ya kiembe samaki maana imekuwa kero sana wanasumbua kwa miziki na fujo za walevi kesho alhamis tunaelekea mahakama ya mwanakwerekwe kupinga BAR kuwepo mitaa ya kiembe...
  4. M

    Askari wa kike wa kiisilamu (jeshi na polisi) waruhusiwe kuvaa hijabu

    Napenda kuliweka hili hapa jamvini kama zawadi ya Eid kwa kila mwana jamvi Eid Mubarak Katika taasisi nyingi hapa Tanzania wafanyakazi wao wanavaa na wanaruhusiwa kuvaa mavazi yanayolingana na dini zao kwa mfano, wafanyakazi wa wizara maofisa wabunge na hata walimu na madaktari pia wanafunzi...
  5. M

    Sheh Bassalleh na kasoro za muungano

    Waisilamu wote tunakupenda sheikh Bahsaleh na tunakuombea dua mwenyezi mungu akupe afya njema na salama ili uendelee kutuzindua waisilamu katika kila jambo kila anaekuchukia ni kafiri huyo
  6. M

    Sheh Bassalleh na kasoro za muungano

    Tunamshukuru Sheikh Bahsaleh kwa kuzidi kutufungua macho maana ni mtaalamu sana wa uchambuzi wa mambo ya siasa na uchumi wa tanzania nakukubali sana na mwenyezi mungu akuzidishie hekma tuzidi kupambana na makafiri, najuwa wengi hawakupendi hasa makafiri maana unazidi kutaja mipango yao juu ya...
  7. M

    Zanzibar will not sustain itself without Union Sitta: Says currently Mainland meets most of cost in

    kwani kabla ya muungano Zanzibar ilikuwa inajiendeshaje ? mpaka waziri aseme muungano ukifa znz nayo itashindwa kujiendesha kama ndio hivyo mbona wanataka muungano uvunjwe ? tuache maneno mengi rekebisheni kero za muungano
  8. M

    Mbunge huyu anachanganya siasa na dini

    Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini (Chadema), alisema "mimi ni kiongozi wa Kanisa Katoliki, viongozi wanazungumzia udini na tuhuma kwa baadhi ya vyama vya siasa nashangaa hawachukui hatua. Wewe ni kiongozi wa kanisa katoliki au mbunge wa rombo ?ukisikia kuchanganya dini na siasa ndio huko hata...
  9. M

    Wabunge wataka udini ukomeshwe

    kama ni upuuzi basi umeanzia bungeni na Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini (Chadema), alisema "mimi ni kiongozi wa Kanisa Katoliki, viongozi
  10. M

    Wabunge wataka udini ukomeshwe

    Wabunge mbona mumesahau na kale ka MOU kamradi ka kanisa katoliki cha kufyonza pesa serikalini kwenda kanisani huo ndio udini wenyewe
  11. M

    Wabunge wataka udini ukomeshwe

    WABUNGE wa Bunge la Tanzania wametaka tuhuma za kuwapo udini nchini ikiwa ni pamoja na ndani ya vyama vya siasa zishughulikiwe kwa kuchukuliwa hatua kuzikomesha. Wakichangia Makadirio ya Matumizi ya Fedha ya Mwaka 2011/12 ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
  12. M

    Senegali waandamana kupinga Mgao wa Umeme....

    Ni rahisi sana kuwaonganisha wasenegal lakini si wabongo maana sisi wabongo tumegawanyika toka miaka ya ukoloni.
  13. M

    Posho na Mishahara ya wabunge...

    thubutu
  14. M

    Wahenga waliliona hili la Kikwete na viongozi wa dini

    tushawajuwa wauza unga Tanzania wala hatupati shida tena anaelalamika ndio muhusika huyo Ahsante sana muheshimiwa Rais kwa kututajia wauza unga, kazi ya kutaja majina hio si yako watataja wahusika kwenye idarea hiyo
  15. M

    Kikwete na mbinu ya kutumia mashehe na media

    kwa sababu hawauzi unga
Back
Top Bottom