King'amuzi cha coconut kimekaa kitapeli zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

King'amuzi cha coconut kimekaa kitapeli zaidi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwambao, Oct 12, 2012.

 1. M

  Mwambao Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana jamvi hivi karibuni nimenunua king'amuzi cha coconut huku zanzibar maana kwa kipindi hili nipo huku visiwani yaani kimekaa kitapeli zaidi maana hakuna lolote linaloendelea yaani tumelipia laki moja lakini hatupati channel hata moja ipo kama mtandao wa tigo unaingia na kutoka unaona robo saa inakosa kuona masaa 6 yaani tabu tupu
   
 2. Sanene

  Sanene Senior Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama satrtimes kila wakati no signal. Hwa jamaa wanakuja kuwekeze hpa wakati hawajajipanga tic vp au ndo yaleyale ufisad
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  coconut tena?...hivi ving'amuzi vitatutoa roho.....
   
 4. w

  white wizard JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  kazi kweli kweli!!hivi ving'amuzi vinawaua wa2,kuna lodge moja nimekwenda pale mapokezi kuna ving'amuzi,utadhani ndio makao makuu ya Google!
   
 5. Access Denied

  Access Denied JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Heh kuna king'amuzi cha nazi tena! Hata kama ni biashara huru bt this is too much maana makampuni mengi hayajajipanga kutoa huduma stahiki kwa jamii badala yake wanaleta kero kila kukicha.

  Startimes
  Zuku
  Ting
  Coconut
  .....
  Alaf wote hawajiwezi!
   
 6. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ndg.mimi binafsi nimeifatilia hii biashara kwa karibu sana,hii unachokiona ni matokeo ya serikali yetu
  kufanya mambo kisiasa zaidi plus conflicts of interest kwa baadhi ya watendaji wa mamlaka ya mawasiliano TCRA.
  startime kupitia star media,ting kupitia AGAPE tv,na itv+star tv bado hawajaleta chakwao sokoni,hao juu ndio warushaji wa matangazo ya radio na tv kwenye digital kwa upande wa Bara,Clouds tv baada ya kukosa leseni ya biashara hiyo huku Bara ndio wamepeleka kingamuzi chao zbar.
  kinachotekea ni wingi wa decoders sokoni ila matangazo au watangazaji ni walwale maana kila mmoja anamatangazo(content yake na kingamuzi chake)
   
 7. w

  wa hapahapa JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 5,552
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Bado nakumbuka ya G-Tv maana hata wao walikuja kwa Kasi........ lakini mwisho wakawa
  matapeli tu..... hivi TCRA vibali wanatoa kwa vigezo gani....
   
 8. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  kuna king'amuzi kipya kinaingia sokoni soon kinaitwa BONGO NEWYORK
   
 9. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nasikia hicho kung'amuzi cha coconut kinalipiwa laki moja si mchezo washatia ela ndani sasa wanatafuta mwanya wa kukimbia hawa wezi sana hawa
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  heeeee?
  Coconut?
  Jina lenyewe inaashiria usanii
   
 11. N

  Nyakipambo JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 435
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unashangaaa king'amuzi cha coconut mi nauza cha avocado! Unahitaji kimoja?
   
 12. morenja

  morenja JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,533
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  labda kinaweza kuwa kizuri maana hii startime ushenzi mtupu mara waondoe station mara warudishe upuuzi mtupu wa kichina
   
 13. Yusomwasha

  Yusomwasha JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2016
  Joined: Dec 5, 2014
  Messages: 2,131
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Duuuui hatareeeeee nazi tena
   
 14. Nyaka-One

  Nyaka-One JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2016
  Joined: Oct 27, 2013
  Messages: 1,668
  Likes Received: 1,401
  Trophy Points: 280
  Nimecheka sana. Changu ni Parachichiz.
   
Loading...