Maandamano kupinga kuwepo kwa BAR mitaani eneo lote la Kiembe Samaki, Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano kupinga kuwepo kwa BAR mitaani eneo lote la Kiembe Samaki, Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mwambao, Mar 21, 2012.

 1. M

  Mwambao Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF wote wale wanaochukia madhila kwa wananchi munaalikwa nyote katika maandamano ya kupinga kuwepo kwa BAR maeneo ya kiembe samaki maana imekuwa kero sana wanasumbua kwa miziki na fujo za walevi kesho alhamis tunaelekea mahakama ya mwanakwerekwe kupinga BAR kuwepo mitaa ya kiembe samaki muda na pahala pa kuanzia nitawajulisha shime tufike kwa wakati. Jambo lolote baya liondoe kwa mkono wako Ahasante
   
 2. H

  HAKUNA Senior Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  anzeni kwanza kwa kupinga kuwepo kwa DANGULO LENU pale bwawani, basi ukiona hivyo hio baa; mmiliki wake ni mtu wa bara (mbongo), mbona hampingi kuwepo kwa lile DANGULO la mzanzibari wenzenu, au kwasababu ******* wanapatikana, halafu mkaandamane kwa kuwepo kwa kundi la nyumba zinazojihusisha na wasagaji na ******* pale kisima majongoo....!!! Hivi kuna watu wenye vitendo vichafu kama ninyi, asiyeijua zanzibar anaweza kufikiri ninyi ni wacha Mungu, lakini hapo ndio mlango wa JEHANAMU....!!!
   
 3. Lisa Rina

  Lisa Rina JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 1,771
  Likes Received: 2,043
  Trophy Points: 280
  Sasa sie breweries tukale wapi?
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mgengepinga kwakutokunywa na wao wakakosa wateja na kufunga wenyewe ningewaunga mkono ila kwa hili la kundamana barabarani kwakweli mmekosa la kufanya au mmekuwa wavivu wa kufikiri, kama ni kugoma kuna mambo kibao ya kugomea serikali yetu imeshindwa kuyatimiza
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Au ndo jehanam yenyewe na inaelekea mambo yanayofanyika huko yanamtisha hata shetani mwenyewe
   
 6. m

  massai JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  bia hapana ,! alakini wanaume kupandiana kwa nyuma ruhusa,hivi nini tafsiri ya dhambi hapo? Alafu hili suala la kundi flani la watu kujiona wako karibu sana na muumba nalo sio zuri.atakae toa hukumu ni mola tu,sasa nyie mnao hukumu duniani hukumu yenu inakuja
   
 7. Lisa Rina

  Lisa Rina JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 1,771
  Likes Received: 2,043
  Trophy Points: 280
  Hili neno mkuu
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nahisi tatizo si uwepo wa bar bali mmliki, na inawezekana kabisa mmliki akawa ni mtu mwenye asili ya bara. Matukio ya moto Zanzibar yamekuwa yanahusisha sana biashara za watu wenye asili ya bara. Kama ni bar kwanini zile za Mji Mkongwe hazichomwi? Au ni 'safi' kwa sababu zinamilikiwa na wanzanzibari wenyewe?

  Itakuwaje kama watu wa bara wakaanza kulipiza visasi? Kuna maduka ya wapemba kibao Kariakoo, Namanga, Mikocheni na sasa Kawe. Watu wa bara wanaweza kuondoka Zanzibar lakini wenyeji watajikuta bado wanatafutana. Ubaguzi ni kitu kibaya sana.
   
 9. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wazanzibari wote mjiandae kuwa kuni,
   
 10. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmmh yamekuwa haya
   
 11. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Badala ya kuandamana kupinga vijana wao waache kula maunga ya kidufi wanakuja kuandamana kupinga ulabu ? Kweli mnatumia miguu kufikiri.
   
 12. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Huyo unazungumzia vibanda vya tende, kweli vipo vingi! Kuanzia K'samaki, Ghuba hadi Buju
   
 13. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kibelaaaaaaa Au bahari imechafukaaaa!
   
 14. Michael Pima

  Michael Pima Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  King'amuzi linalonga katika sahihi yake...usipoteze muda kuwasha moto juu ya maji.
   
 15. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wazanzibar ni *******-natamani waende mkoa wa kilimanjaro,arusha na mikoa mingine waone bar zilivyo nyingi,
  wanajifanya wasafi kumbe ni wachafu wa kutupwa-MBONA HELA ZA MISAADA YA AJALI YAO YA MELI WALIPOKEA PESA KUTOKA KWENYE KAMPUNI ZA BIA-WAZIRUDISHE ZILE HELA BASI
   
 16. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  du! jamaa alijua mtampa sapoti,alivyoona hali sivyo kakimbia
   
 17. Lisa Rina

  Lisa Rina JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 1,771
  Likes Received: 2,043
  Trophy Points: 280
  Jamaa kasepaaa
   
 18. k

  kiparah JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Mkimaliza hilo andamaneni kukomesha lile genge la kisenge la mashoga pale Bwawani au kwa vile wewe ni mteja namba moja wa ushoga ndo unaanzisha maandamano kupinga Pombe?
   
 19. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Na muandamane ili vijana wenu wote wa kiume waache ubeach boy wa kulala na vibibi vya kizungu katika beach zote za Zanzibar.
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  hivi hizo bar zingefunguliwa kama hakuna wateja? Mnapinga bar wateja vipi? Au hazimilikiwi na wazenji?
   
Loading...