Askari wa kike wa kiisilamu (jeshi na polisi) waruhusiwe kuvaa hijabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askari wa kike wa kiisilamu (jeshi na polisi) waruhusiwe kuvaa hijabu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwambao, Aug 28, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. M

  Mwambao Member

  #1
  Aug 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napenda kuliweka hili hapa jamvini kama zawadi ya Eid kwa kila mwana jamvi Eid Mubarak

  Katika taasisi nyingi hapa Tanzania wafanyakazi wao wanavaa na wanaruhusiwa kuvaa mavazi yanayolingana na dini zao kwa mfano, wafanyakazi wa wizara maofisa wabunge na hata walimu na madaktari pia wanafunzi wanaruhusiwa kuvaa hijab wakaiwa katika sehemu zao za kazi, ila hili sijaliona kwa wafanyakazi wa sekta ya ulinzi na usalama wa nchi yetu ambao wao ndio wamebaguliwa na dini zao wala sijasikia mtu kuwatetea hivyo mie naanza kuwatetetea naomba watu wote waniunge mkono ili dada zetu waliopo kwenye hizi taasisi waweze kumtii mwenyezimungu kama wengine walivyopewa fursa ya kumuabudu mola wao dada zetu waliopo kwenye sekta za ulinzi mavazi yao yanawadhalilisha sana wanavaa suruali na visiketi vifupi kwa kweli haliridhishi . zamani askari wa kiume walikuwa wakivaa kaptula lakini sasa wakaliondowa hilo wamewekewa suruwali na na sasa kuna mpango hata wafungwa pia watavalishwa suruali na hili la maaskari nalo liangaliwe kwa hekama na busara dada zetu nao wanahitaji kuvaa mavazi yatakayowastiri maungo yao na linawezekana.

  Naomba kuwasilisha nina haraka sana modem yangu imekwisha pesa
   
 2. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Nakuunga mkono ndugu yangu. Pia Nawatakia Waislam wote Eid Mubaraka
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wataanza kuvaa wale walinzi wa gadafi kwani yeye ndiye nembo ya uislamu hapa duniani hadi katujengea msikiti ila naona mnyaaz mungu anampa mkono wa kwaher,
  eid njema waungwana.
   
 4. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Udini bana kwani wakivaa ndio ufanisi wa kazi utaongeza
   
 5. Donkey

  Donkey JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 676
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 80
  kwani mavazi ndiyo kufuata dini, nchi haina dini, tafuta mengine, kwanza uislamu na ukristo siyo dini za asili ya Tanzania, jitambue
   
 6. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ukweli ni kwamba katika tafiti nilizofanya jwtz,magereza,na Police,askari wanaopenda kuvaa sare ya jeshi sketi vimini dada zangu wa Muhamad,wanaongoza tofauti na dada zangu wa Nabii Bin Maryamu
   
 7. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Sheikh; Umejiandaaje kumaliza mfungo?!, mabango ya kujirusha yameshajaa kila kona, wewe umechagua wapi?; sanciro?!, bilicanas?!, c/dreamer?!, joly?! Au uwanja wa fisi?!, karibu tuanze ke-share lunch.
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Fanyeni kazi nyie achaneni na hitikadi, kwani umeamniwa mtu ataenda mbinguni au ahera kwasababu ya kuvaa "mavazi ya kidini" au kwa kutenda kama Allah Karim atakavyo?
   
 9. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  kama mmekosa cha kuchangia ni heri mnyamaze, yalianza madai ya kuondoa sare za shule kwa wanafunzi, zikaondolewa. Kujengewa misikiti ktk taasisi za elimu, hayo yakapigwa chini, sasa kuna la IOC na Kadhi, leo limekuja la mavazi kwa askari-kesho tujiandae na wanawake wa Kiislam kuachishwa kazi kwa madai ya kuwa anayetakiwa kufanya kazi ni mwanamume-mwanamke kukaa ndani tu, kesho kutwa tutaletewa madai wanawake wa Kiislam wanyang'we leseni za dereva maana mwanamke wa Kiislam kuendesha gari sio UISLAM.

  SASA NYIE ENDELEENI KULETA HUMU NCHINI KWETU MADAI YENU. SIKU SISI WENYE DINI YA ASILI YA NCHI HII TUKICHACHAMAA KUDAI HAKI ZETU, NAAMINI WOTE NINYI MUAMINIO DINI ZA MASHARIKI YA KATI INGAWA MNAPINGANA NINYI KWA NINYI, MTATUKOMA MAANA SISI NI WENGI KULIKO MNAVYOFIKIRI. mmekaaaaaaakaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kuleta uchokozi ktk nchi yetu sisi tumenyamaza mnazani hatupo sio.. tuchokozeni nasi ipo siku tutainuka kudai yetu.

  Madai ya dini yetu--ni pamoja nakukomboa maeneo yetu yote yaliyokuwa ya kufanyia ibada--waumini wenzangu wanaelewa nini namaanisha.

  TURUDI KWENYE MISINGI YA IMANI za KIAFRIKA
   
 10. P

  PresidentSalum Senior Member

  #10
  Aug 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 184
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwani wakivaa hijab huo ufanisi utapungua ? kama haupungui, kosa liko wapi ?
   
 11. P

  PresidentSalum Senior Member

  #11
  Aug 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 184
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwa kuwa nchi haina dini, haina maana wananchi wasiwe na dini.
   
 12. P

  PresidentSalum Senior Member

  #12
  Aug 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 184
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  inaonyesha hujui unachoongea...
   
 13. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Waache kazi wakalee watoto majumbani. usidhalilirhe jeshi please.
   
 14. b

  baba29 Member

  #14
  Aug 28, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakristo wote ni wanafiki,kaeni kimya. Lakini na amini kuwa mungu yupo na atarahisisha mambo . . .ikiwa anajuwa yale ambao hatujuwi.
   
 15. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Edmund hiyo nembo umempa wewe mwenyewe kwa utashi wako. Mwislamu ndiyo na kama alisaidia kujenga misikiti sawa na wala siyo ajabu. Kwani Mafia si walikuwa wanasaidia sana kanisa katoliki?
   
 16. A

  August JF-Expert Member

  #16
  Aug 28, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  kwanza itakuwa vizuri mjeshi wa kike/polisi akamate wanawake wenzake, na vivyo hivyo kwa hao wa jinsia nyingine
   
 17. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  Bora unyamaze you know nothing about our religion ... mavazi kwa mwanamke it does matter! ndio maana nchi zilizoendelea wameliona hili mfano UK  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]
   
 18. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280

  Hivi mwanamke wa kiislam akiamuwa avae atakavyo ni udini... ..?? wawapi weye...?!
   
 19. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Safety usiogope; Polisi wa kiume crown za kofia zao ziwe za msalaba badala ya ngao!
   
 20. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280


  mahakama ya kadhi ipo njiani inakuja..... ukitaka msitake! kwanza nashangaa haitowahusu ninyi... kelele za nini...?! waislam tuna maswala yetu ya ndoa & mirathi na family tunahitaji itatuliwe kutokana na misingi ya dini yetu..


  hapo unawasemea wanawake wa kiislam .. kama wenyewe wakipaza sauti na kusema kwanini wa sisikilizwe ... kuvaa hijab ni haki yao na halina ubishi hilo....  SASa kama wenyewe mabint wa kiislam hawataki mtawalazimisha ... wakipaza sauti lazima wasikilizwe ...  Hii nchi huishi peke yako lazima mkubali kuna watu wana culture , dini & tabia tofauti.... IF hijjab offends you, turn the other way. IF you do not understand it, knowledge yourself. IF you can't accept it, walk away. IF you have any questions, ask about it . BUT DO NOT disrespect muslims for what they believe. Hijjab is muslim girl personality Hijjab is her pride, Hijjab is her right and you don't have the right to judge her about it .

  hujakatazwa amini unachoamini weye
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...