kuna waziri mmoja anaitwa Prf Makame Mbalawa alikuwa amekuja muhimbili university kuja kujionea mambo ya miaka 50 yao, Baada ya kufika akakutana na mabango ya wanafunzi yenye ujumbe kama ifuatavyo
1. WANAFUNZI WANAPINGA ONGEZEKO LA POSHO ZA WABUNGE
2. CHAMA CHA WANAFUNZI KILIFUTWA(MUHASSO)...
Watu wanasema kuwa kila kitu ukiwa unafanya lazima kiwe na Malengo, Nimekuwa mdau kidogo wa kuangalia MOVIE za muendelezo. Asilimia nyingi ya hizi movie zinafanikisha kazi za kupendwa lazima awepo MSALITI ili starling afanikishe mission au mlengwa apewe kibano cha nguvu. Sasa kwa jinsi...
Nimekuwa mwanafunzi wa elimu ya juu kwa miaka minne sasa at least nimekuwa na uzoefu wa nini kinaendelea na nimeshiriki kwenye harakati nyingi za kubadilisha maisha yangu na wanafunzi wenzangu katika good way. Ila nimegundua kuwa hapa nchini katika migomo inayofanikiwa kwa kiwango kikubwa basi...
pole sana mh, hope u wl be fine soon coz we pray 4 u and stl we need u, viongozi wengine wajifunze kuweka mambo wazi coz suala la kuumwa ni kwa binadamu yeyote ili kuondoa sintofahamu na suala zima la kuanza kupiga ramli katika zama hizi za science and technology. pole it will recover soon after...
Wadau nawaomba MAGAMBA wakiamua kuilipa dowans basi wafanye siku ya kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa tanganyika au siku ya nyerere day ikishidikana wafanye 2015 wakati wa kikao chao cha kumteua candidate wa kugombea urais ; NIA ILI WATU WAWE AWARE NA MAPINDUZI YAANZIE HAPO AU KWENYE UCHAGUZI...
To be honest nchi inayumba mno na huwa tujifunze ktk hili kuwa hasa sisi tunaotafuta maisha tu ya kawaida. The way unavyotafuta pesa ndivyo utaishi na kutumia hizo pesa. Hata kama unasoma angalia usiwe ombaomba sana jikite kwa mtu anaekusomesha, hii maana yake ni kuwa jamaa wakati anaingia...
Kama amechangia vizuri well and good.But the issue is hawa dada zetu walio wengi kiuga kwingi mpaka wana bore sio yy tu....Wapo wengine wanavyofika vyuoni wanakuwa wanaongea vizuri ila as tyme goes ni wanabana pua mpaka kero kuchanganya lugha at least we can torelate but huko kubana pua na...
Kweli jk aondoke coz hao watu anaowabeba wana kiburi na wanaringia matunda ya wezee wetu huko vijijini walipa kodi,yani jamaa anawabeba washikaji wake, tupunguze ushabiki wa ajabu this true hiyo ccm ni mzigo na hao wanaojiita wapambanaji wa ufisadi wanatupumbaza. Lengo lao ni kujiandaa kula kwa...
this is coz siasa za bongo zina uongo mwingi and lack of accountability.Haiwezekani nchi ipo gizani afu mkuu wa kaya anapeta kwenye ful URANIUM ELECTRICITY ile hali nchi ina taabika
angeanza Ngeleja ndo ningeona kuna utawala wa haki coz katibu yuko chini yake and huyo ni mgeni tu kwenye hiyo wizara lazima ni maelekezo kutoka kwa m2 mwingine hiyo ngoma bado mbichi. NGELEJA ACHIA HIZO OFA ZA TANESCO KUPEWA UMEME WA BURE
YANI HAPA NAMAANISHA WANAFUNZI TULIKATAA KU COMPLY WITH GOVERNOMENT NOTICE(GN178) AMBAYO INAHITAJI WANAFUNZI WANAOGOMBEA CHEO CHOCHOTE KWENYE SERIKALI YAO LAZIMA WAWE NA GPA YA 3 AND ABOVE NA INAWABAGUA WALE WENYE GPA BELOW ETI WATAFELI ZAIDI WHILE UONGOZI NI KIPAJI COZ KUNA WATU NI WABUNGE...
yani hapa namaanisha mtu ili aweze kugombea uongozi kama urais na ngazi zingine kwa hapa chuoni ni lazima afikishe hiyo gpa our concern is uongozi sio kupiga msuli sana ni kipaji afu kingine ni kuwa hizi serikali ziliwekwa kwa ajili ya wanafunzi iweje dean of students awe na mamlaka makubwa...
Katika kile kinachoonekana ni kuwa wavivu wa kufikiria hatimaye MUHIMBILI UNIVERSITY COUNCIL imefuta rasmi student organization kwa sababu imeshindwa to comply na GN178,VIPENGELE VYA HIYO GOVERNMENT NOTICE INA MAPUNGUFU YAFUATAYO;
INATAKA WATU WAGOMBEE UONGOZI WENYE GPA FROM 3 AND ABOVE(Je ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.