Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,507
Wewe ndiyo umeharibu zaidi ya Esther kiswahili si kiswahili kingereza si kingereza kiswa-nglish si kiswa-nglish ulichoandika ni lugha ya mitaani ambayo haijagunduliwa, unajua hata kuchanganya lugha nayo inahitaji ujuzi unapoandika anapo'use au ata'put unaonekana hujui matumizi ya lugha zote mbili.Nami ktk hili cjakubali linipite bila kuchangia! Huyu Honourable mi nshamckia lon' tym nikadhani anan'chefua mi peke yng atii! Sasa hilo la kumix language ni 9! 10 Mh. huyu ananichefua zaidi pale anapo'use R instead of L! kwenye L yeye ata'put R ! Mfano neno PROGRESS ana'pronounse PLOGLESS! au COLLECTIVE= CORRECTIVE, SUNGURA= SUNGULA, hii ni nini km si Rubish! Kuna umahiri gn wa ubingwa mjengoni Mbunge aongee lugha asiyoifahamu vyema? HAIPENDEZI & HAINA MASLAHI.