Wanafunzi wa elimu ya juu tubadilishe mitizamo yetu kiuzalendo zaidi

mwakabana

Member
Dec 15, 2010
31
7
Nimekuwa mwanafunzi wa elimu ya juu kwa miaka minne sasa at least nimekuwa na uzoefu wa nini kinaendelea na nimeshiriki kwenye harakati nyingi za kubadilisha maisha yangu na wanafunzi wenzangu katika good way. Ila nimegundua kuwa hapa nchini katika migomo inayofanikiwa kwa kiwango kikubwa basi ni ya wanafunzi wa elimu ya juu almost 90% inaweza kuwa imefanikiwa. Ila katika hiyo migomo ALMOST 100% INAHUSU WANAFUNZI KUDAI HAKI ZAO ZA KUWAWEZESHA KUISHI.
NAOMBA SASA TUWE WAZALENDO KWA KUGUSA MATATIZO YA KITAIFA KATIKA KUDAI MAMBO YA MSINGI KWA KUANDAA MAANDAMANO YAWE RASMI AU SIO RASMI KATIKA KUKEMEA MAMBO AMBAYO YANAGUSA JAMII YOTE KWA UJUMLA , NAJUA TUNAYAFAHAMU KWANI KUYATAJATAJANI KAMA TUNAYAFURAHIA, THANKS ila kama lugha haijaeleweka sorry coz am not good in both swahili and english grammar.nawasilishaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom