Udom-college of education wapo mbioni kugoma

King junior

Member
Apr 8, 2011
63
12
Wanafunzi wa UDOM-college of education, wapo mbioni kugoma ili kushinikiza utawala ukamilishe matakwa yao hususani ya fedha za kujikimu. Mwaka huu wa masomo wa 2011/2012 umekuwa tofauti kidogo hasa kwa mwaka wa pili na watatu katika kupata pesa zao za kujikimu. Mwaka wa masomo wa 2011/2012 umeanza tarehe 23 oktoba, na mpaka sasa pesa za kujikimu hazijatolewa kwa wanafunzi wote wa mwaka wa pili na watatu kutokana na masharti yafuatayo: 1-uongozi wa chuo unataka wanafunzi wote wafanye usajili ndipo wapate pesa hizo (wamesahau kama pesa ya accomodation is a part and parcel of boom) 2- wanafunzi wote wanatakiwa wasaini kiwango cha pesa Tshs 646,250, badala ya 670,000/-. Hata hivyo robo tatu ya wanafunzi wote wa mwaka wa pili na watatu wameshamaliza mchakato wa kusaini na kufanya usajili,cha ajabu hadi leo pesa zao hazijaingia badala yake wamepewa wanafunzi wa mwaka wa kwanza. Tamko limetolewa na baadhi ya wanafunzi kuwa wasipoweka pesa kesho hadi saa sita mchana,wataandaa mgomo.
 
i don't know if it is right or wrong but if so be...

shame the Government is stealing form studens.
 
duuh! Kama mmepewa 646,000 mmeibiwa laiv buku nne kwa kila mtu,afu na nyie kwanin mmesain kabla hamjapewa chenu? Hv nyie mbona kuna mambo mnaonewa sana na yako wazi hv hamna serikali ya wanafunzi? Mnatutia aibu kujifanya waungwana hta kwenye upuuzi!
 
Viongozi wa udom wanafaidika na migomo. Inakuaje kila mwaka hawajifunzi.
 
Wanafunzi wa UDOM-college of education, wapo mbioni kugoma ili kushinikiza utawala ukamilishe matakwa yao hususani ya fedha za kujikimu. Mwaka huu wa masomo wa 2011/2012 umekuwa tofauti kidogo hasa kwa mwaka wa pili na watatu katika kupata pesa zao za kujikimu. Mwaka wa masomo wa 2011/2012 umeanza tarehe 23 oktoba, na mpaka sasa pesa za kujikimu hazijatolewa kwa wanafunzi wote wa mwaka wa pili na watatu kutokana na masharti yafuatayo: 1-uongozi wa chuo unataka wanafunzi wote wafanye usajili ndipo wapate pesa hizo (wamesahau kama pesa ya accomodation is a part and parcel of boom) 2- wanafunzi wote wanatakiwa wasaini kiwango cha pesa Tshs 646,250, badala ya 670,000/-. Hata hivyo robo tatu ya wanafunzi wote wa mwaka wa pili na watatu wameshamaliza mchakato wa kusaini na kufanya usajili,cha ajabu hadi leo pesa zao hazijaingia badala yake wamepewa wanafunzi wa mwaka wa kwanza. Tamko limetolewa na baadhi ya wanafunzi kuwa wasipoweka pesa kesho hadi saa sita mchana,wataandaa mgomo.

Hawa si ndio walimchangia ****** takribani Mill 2 pale Nyerer Square na akawaahidi kuwa matatizo ya mikopo sasa basi?
 
poleni kwa kucheleweshewa booom, but hiyo nembo uliyotumia inawaza iwachefue magamba na mkashindwa kuungana nao ktk kugoma
 
duuh! Kama mmepewa 646,000 mmeibiwa laiv buku nne kwa kila mtu,afu na nyie kwanin mmesain kabla hamjapewa chenu? Hv nyie mbona kuna mambo mnaonewa sana na yako wazi hv hamna serikali ya wanafunzi? Mnatutia aibu kujifanya waungwana hta kwenye upuuzi!

na wewe tumia akili, utapewa vipi hela bila ya kusaini?. Pia umejuaje kuwa wanaibiwa 4000/=.
 
Tuulizie kwa ****** kwanini anamlinda Mlacha...

Sio huyo tu, kwani director human resource, bursar yule mwenye mtumbo mkubwa kabisa, vice chancelor utashangaa nae anaendelea kuwa vc hali leo 30/10/2011 anastaafu kazi kwa mujibu wa sheria na ndipo kutakapoharibika. Mie nadhani chuo hiki kabisa si cha umma bali cha hao wenzetu wengine kwa sababu maovu haya yote rais hajayasikia wala yaona chuo kimeporomoka ki utumishi na kinakuwa kwa maamuzi ya wachache badala ya kunufaisha watanzania.

Kwakweli chuo hiki kuwa kizuri ikitokea muujiza wa mungu ikatokea hawa watahwa hapo juu wakawa hawapo duniani, chuo kinaweza boreka. Lakini kwa mwendo huo, wote hali mbaya kabisa
 
Poleni waungwana.

Ahsante tatanyengo, lakini leo lazima ombi letu likamilike,vinginevyo hatutakuwa wapole hata kidogo,jana kiongozi wa mikopo Haji ambaye awali alikuwa warden wa block F huku education alitoa tamko kuwa leo tarehe 31 pesa zitaingizwa saa tano kwa wanafunzi wote,lakini wanafunzi walionesha jazba za wazi kwa kumzomea kuonesha wamechoshwa na siasa za wazi za hapa chuoni. NITAWAJUZA KITAKACHOJILI.
 
Jaman nyie walimu ebu kueni wapole plz..mtapewa tu ni haki yenu hyo.
 
Ahsante tatanyengo, lakini leo lazima ombi letu likamilike,vinginevyo hatutakuwa wapole hata kidogo,jana kiongozi wa mikopo Haji ambaye awali alikuwa warden wa block F huku education alitoa tamko kuwa leo tarehe 31 pesa zitaingizwa saa tano kwa wanafunzi wote,lakini wanafunzi walionesha jazba za wazi kwa kumzomea kuonesha wamechoshwa na siasa za wazi za hapa chuoni. NITAWAJUZA KITAKACHOJILI.

Huyu si ndio miongoni mwa loan officers tisa (9) wlioajiriwa UDOM na mmoja tu kati yao ni non- muslim kama ilivyo kwa idara ya uhasibu ambako wahasibu wote ni non- christian na christians wote wamwhamishiwa kwenye colleges. Hongera yao
 
NI KUA HATA HAPA KWETU UD UTARATIBU ULIKUA HASA KWA KAKA ZETU NA MADS KUA UNAJISAJILI NDIO UPEWE BUMU,ILA SIJUI KAMA NI LAZIMA UFANYA HIVYO NA UKITEGEMEA KUA BAADHI WANALIPA ADA KUPITIA BUMU, HIVI KUNA ULAZIMA WA KUZIBANIA BANIA PESA HADI FUJO ZITOKEE,ILA NASIKIA ZINAWEKWA KWENYE FIXED ACCOUNT,SINA LINK ILA NI ROMOURS,SU UNAJUA MFA MAJI..........Nice time
 
Waalimu huwa hawana madhara kwani mara wote wamekuwa wakimtishia mkubwa Nyau, tena kuhusu mgomo wa waalimu mimi sikushauri kwani wengi wetu ni waoga na tumetawalwa na neno la mchawi wa mwalimu liiitwalio Haiba.
 
haya hela si mshapewa? Mbona hamuanzishi thread walimu walewa maana mwatia aibu kupata boom tu fujo na ulevi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom