Chuo kikuu Muhimbili chafuta chama cha wanafunzi (students' organization)- muhasso | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo kikuu Muhimbili chafuta chama cha wanafunzi (students' organization)- muhasso

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by drgeorge, Jun 11, 2011.

 1. d

  drgeorge Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Makamu Mkuu wa chuo Kikuu Muhimbili amefuta chama cha wanafunzi (MUHASSO), students' Organization kwa kutumia hoja zisizo na mashiko, akidai ni maamuzi ya kikao cha Baraza la chuo cha tarehe 3 Juni 2011 ambacho hakuna uwakilishi wa wanafunzi baada ya kufukuzwa kwa kushinikiza umoja huo kukubaliana na mwongozo wa serikali GN 178 wa 12 juni 2009 uliosainiwa na aliyekuwa waziri wa elimu Prof. Jumanne Maghembe. Kimsingi ni mwongozo kandamizi na haukuwashirikisha wanafunzi wa vyuo.<br><br>lakini cha kushangaza TAHILISO imeduwaa tu. Hii nchi tutafika kweli?
   
 2. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Jamani,nani atawasemea wanafunzi? hilo ni janga la kitaifa.
   
 3. d

  drgeorge Member

  #3
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmmhh! hii kali
   
 4. m

  mwakabana Member

  #4
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika kile kinachoonekana ni kuwa wavivu wa kufikiria hatimaye MUHIMBILI UNIVERSITY COUNCIL imefuta rasmi student organization kwa sababu imeshindwa to comply na GN178,VIPENGELE VYA HIYO GOVERNMENT NOTICE INA MAPUNGUFU YAFUATAYO;
  • INATAKA WATU WAGOMBEE UONGOZI WENYE GPA FROM 3 AND ABOVE(Je ni viongozi gani na wangapi wa nchi hii wenye hata degree) kama ndo hivyo kuwa rais tu uwe na GPA hiyo basi ngazi kama za wabunge na mawaziri wawe na phD and others prof kabisa. pia hii inawabagua watanzania wenye haki ya kuchagua na kuchaguliwa inataka kuwe na serikali ya mseto kati ya Dean of students na viongozi wa wanafunzi.
  • nawaombeni wanajamvi mtusaidie kujadili hili coz sheria iloanzisha chuo inatambua(UNIVERSITY CHARTER) then hapa si ni kama hatuna chuo? natambua mawazo yenu ni muhimu ili tuweze kutayua hili
   
 5. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sasa lazima vijana waamke maana sisi wazee tuna mapungufu mengi na tunakaribia kupotea. Tunaamua mambo kisultani lakini vichwa vikiwa haviwezi kufikiria logically. Hii nchi ya vijana.
   
 6. fanson

  fanson Senior Member

  #6
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 181
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Usipoweza kujitetea hakuna atakaye kutetea
   
 7. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #7
  Jun 11, 2011
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hebu ipeleke kwenye jukwaa la sheria.
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Wafute degree ya heshima waliompa M.kwere nitawaelewa
   
 9. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Nafikiri hujaweka mada sawa sawa... au ulikuwa unawahi wodini ,Kadava? wewe gpa yako ni ngapi? au pengine wameona hao wenye gpa za chini wakikomaa na ishu za uongozi wataja uwa wananchi???.... Infact naomba uweke maelezo yako vizuri ili wadau wachangie!!
   
 10. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Inaonekana huo uongozi wa hicho chuo walikuwa hawataki serikali ya wanafunzi. Kwahiyo wamepata sababu ya kuufuta. Wasilianeni na wanasheria watawasaidia.
   
 11. M

  Mkono wa Tembo Member

  #11
  Jun 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni suala la kisheria ziaidi kwani chuo kinaendeshwa kwa mujibu wa sheria iliyokianzisha..... Wataliweka vizuri
   
 12. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hilo jipya tena tutasikia mengi sana mwaka huu. sijawahi sikia kitu kama hicho especially kwenye vyuo vya umma maana GPA 3 kwa masomo ya medicine, BVM, engineer siyo mchezo inahitaji kugangamala lasivyo unaweza ukapata GPA ya below 3 kwa hilo naomba tu sheria zifuatwe kwanza si hakai may kuna mkono wa ccm ndani yake maana hawataki siasa vyuo lakini kwa chini chini wanafanya.
   
 13. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,943
  Likes Received: 1,268
  Trophy Points: 280
  Mkono wa Magamba huo.
   
 14. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni sawa, kwani kama GPA ni chini ya 3 ukiwa kiongozi maana yake utafeli
   
 15. m

  mwakabana Member

  #15
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yani hapa namaanisha mtu ili aweze kugombea uongozi kama urais na ngazi zingine kwa hapa chuoni ni lazima afikishe hiyo gpa our concern is uongozi sio kupiga msuli sana ni kipaji afu kingine ni kuwa hizi serikali ziliwekwa kwa ajili ya wanafunzi iweje dean of students awe na mamlaka makubwa kwenye serikali za wanafunzi issue is wamefuta serikali ya wanafunzi
   
 16. m

  mwakabana Member

  #16
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  YANI HAPA NAMAANISHA WANAFUNZI TULIKATAA KU COMPLY WITH GOVERNOMENT NOTICE(GN178) AMBAYO INAHITAJI WANAFUNZI WANAOGOMBEA CHEO CHOCHOTE KWENYE SERIKALI YAO LAZIMA WAWE NA GPA YA 3 AND ABOVE NA INAWABAGUA WALE WENYE GPA BELOW ETI WATAFELI ZAIDI WHILE UONGOZI NI KIPAJI COZ KUNA WATU NI WABUNGE Lakini hata f4 hawajakanyaga na wengine hawajiendelizi na ni viongozi ila coz walipiga GPA ZA KISHIKAJI.
  SHERIA YENYEWE INAMPA DEAN OF STUDENTS MADARAKA MAKUBWA KWENYE SERIKALI YA WANAFUNZI ILE HALI YEYE SIO MWANAFUNZI YANI NI KAMA TUNATENGENEZA NAE SERIKALI YA MSETO
  SHERIA MAMA YA CHUO INAWEKA WAZI KUWA ILI CHUO KIITWE CHUO LAZIMA KUWE NA STUDENTS ORGANIZATION LAKINI WENYEWE HAWAONI HILO
   
 17. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #17
  Jun 11, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  oh mjadala huu kali. ila kwa ufupi, mimi binafsi nilikuwa Rais wa wanafunzi, nilikuwa nina dhani GPA sio muhimu sana, lakini ukweli ni kuwa uongozi wa wanafunzi hauhitaji uwe kilaza kihivyo au uwe bright sana. kikubwa iwepo GPA reasonable. nitarudi baadae kwa mchango zaidi.
   
 18. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Its obvious mwenye GPA below3 anamuda mwingi, hivyo its easy to challenge college adminstration. Endapo watapata watu wenye GPA above 3, interest yao itakuwa kwenye kusoma kama kawa! Kumpata mtu ana GPA kubwa pia anajitolea kiuongozi ni tabu sana!
   
 19. m

  moshijeff Senior Member

  #19
  Jun 11, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah! "we love our country but our country don't lv us" watawala wetu wametumia elimu tulizowasomesha kwa kodi zetu kutusaliti kwa nguvu zote. Haya ya Muhimbili ni nn tena watz? saa inakuja watawala wote mkae chonjo, kwa kuwa hamjui saa wala wakati ambao nguvu ya UMMA itakapokuja kwenu, kwani itakuwa ni kilio na kusaga meno, nyie endeleeni kujimwagia Petrol na kuogea mafuta ya taa karibu na moto tu.Mungu ibariki TZ, MUNGU ibariki CDM.
   
 20. d

  drgeorge Member

  #20
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni suala la kisheria na kisiasa pia, maana hata mwongozo huo haukuwashirikisha wanafunzi katika uundwaji wake.
   
Loading...