Recent content by mwabaluhi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa Mwanakijiji na wengine wenye kufanana naye katika mtazamo wa siasa...

    Kama wachangiaji wengi wanaojirudiarudia hapa JF wanavyotaka kutuaminisha kuwa wana chadema wengi wamekerwa na usaliti wa Zitto basi wangeshinikiza uongozi wa chama utii matakwa yao kwa kumfukuza Zitto. kama kweli mleta uzi ana ushujaa angeanzisha uzi wa kumpa Mbowe, Slaa na CC ya chadema...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ajali daraja la Kawe/Mlalakuwa

    Ok, ila sitoi lawama bali angalizo kwetu tulio bado hai, wao safari yao hapa duniani imekwisha.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kim Jong Un’s Uncle Executed

    Kinachonishtua ni uharaka wa baadhi ya nchi katika kutekeleza adhabu ya kifo. Huyu kahukumiwa na muda mfupi tu kanyongwa. Iraq pia kwa Saddam, na hivyo imekuwa kwa hukumu za watu wengine. Bangladesh juzi kwa yule jamaa wa uhalifu wa kivita. Iran etc.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya Mwl. Nyerere yaalikwa kwenye mazishi ya Mandela

    Ni nchi nyingi zimetoa mchango kwa ukombozi wa South Africa. Tusing'ang'anie kupewa sifa zote sisi Tanzania. Hata hivyo motivation yetu ya kusaidia mapambano ya South Africa haikuwa ili tuje tusifiwe baadae bali kutimiza ndoto ya "Africa huru".
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ajali daraja la Kawe/Mlalakuwa

    Pole kwa wafiwa, ujana + kilevi + gari = deadly combination
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mavurunza NIDA: kuazimwa t shirt ya nida upigie picha Tsh 500,ukitaka upigwe picha faster 1000/2000

    Kwanini usiende na tisheti ama shati lako la rangi ambayo sio nyeupe kuepusha kukodi shati? Matangazo si yapo na yanaelezea rangi za nguo za kuvaa, isiwe nyeupe wala isiwe na maandishi ama nembo yoyote.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wangu kwamba Ben Saanane/Mamuya ni watu hatari ndani ya chama

    Aisee kumbe ndio maana mambo yapo yalivyo hivi sasa. Hatari sana.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Alfonce Mawazo apewe Unaibu Katibu Mkuu CHADEMA

    Politics si mchezo, hadi uchaguzi mkuu uishe chadema mwakani kuna majeruhi wengi tu wa kisiasa kama inavyokuwaga ccm. Na funga kazi itakuwa ni kwenye nominations za ubunge. Mungu tupe uhai kuona kitakachojiri.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Zitto Nipe Majina ya wezi walioficha pesa Uswisi niwataje, kama wewe unaogopa kuwataja.

    Walewale wanaoongoza kwa kumtaja Zitto kama mtu asiye aminika sasa wanajikomba na kumlamba viatu awape majina ya Uswizi. Ina maana ghafla bin vuuup Zitto anaaminika tena? Duh siasa za bongo hatareee sana.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Facebook imenishinda!!

    Naipenda facebook, ni mtandao mzuri sana.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya facebook...hasa kwa wenye ndoa..

    Huo ndio ukweli uliousema. Yaani inavyopondwa FB utadhani yenyewe ndio inakupa tabia hizo mbaya wakati watumiaji wana akili zao timamu na utashi wa kuamua.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Haya Lulu ni 18 au under 18? Jibu lipo hapa!!

    Hii nzuri
  13. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliopendekezwa kugombea EAC kutoka CCM

    Wewe unadhani huu mgawanyo unakuja kwa bahati mbaya? Unadhani aliyetoka kwenye background ya familia ya ualimu anafurahia kuwa mwalimu ama analazimika (kwa sababu hana option) kuwa mwalimu na yeye pia kama wazazi wake waliomtangulia? Hii ni social class reproduction: na ipo hapo si kwa bahati...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Afande Sele kugombea ubunge 2015

    Hahahahaha....Amepita bila kupingwa
Back
Top Bottom