Mavurunza NIDA: kuazimwa t shirt ya nida upigie picha Tsh 500,ukitaka upigwe picha faster 1000/2000

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
620
1,000
Niko hapa toka asubuhi baada ya kujidai mmbishi na sitatoa kitu,kweli watu wa chini wananyanyasika na rushwa hapa mpaka 500 wanapokea ,NIDA fuatilieni hivi vitu hatutungi haya mambo ndio yanayoendelea huku vituoni
 
mtz one

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
4,231
2,000

umeandika nini na tuelewe nini hapo? unakimbizwa? andika habari kamili ueleweke
 
Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
2,000
Niko hapa toka asubuhi baada ya kujidai mmbishi na sitatoa kitu,kweli watu wa chini wananyanyasika na rushwa hapa mpaka 500 wanapokea ,NIDA fuatilieni hivi vitu hatutungi haya mambo ndio yanayoendelea huku vituoni

Jieleze vyema tafadhali maana nimesoma sijaelewa .Kuna tatizo gani ? Hapa JF tupe taarifa kwa uhakika na si kwa haraka hivi .Haya anza tena
 
KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,134

'nilivyomuelewa mimi ni kwa kwanza ameshavurugwa tayari ni kwamba tangu asubuhi yupo hapo kituoni na watu ni wengi sana na alishaapa kuwa hatatoa rushwa ndo mana bado yupo..................ukihitaji t-shirt ya kupigia picha labda kama t-shirt yako ina rangi zisizohitajika inabidi wakupe wao mara moja upigie sasa wanatoa kwa rushwa ya sh 500 na ukitaka upigwe picha fasta itakulazimu utoe 1000 mpaka 2000 ni simple like that kipi kisichoeleweka hapo,akili za kupewa changanya na za kwako ndugu'
 
KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,134
2,000
umeandika nini na tuelewe nini hapo? unakimbizwa? andika habari kamili ueleweke

'huyu ameshavurugwa na kueleweka anaeleweka labda kwa mwenye mawazo mgando hatoweza kumuelewa ila ameeleweka vizuri tu soma hiyo comment ya juu kabla ya hii umeshatafuniwa bado kumeza tu'
 
mwabaluhi

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
561
0
Kwanini usiende na tisheti ama shati lako la rangi ambayo sio nyeupe kuepusha kukodi shati? Matangazo si yapo na yanaelezea rangi za nguo za kuvaa, isiwe nyeupe wala isiwe na maandishi ama nembo yoyote.
 
mtz one

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
4,231
2,000
'nilivyomuelewa mimi ni kwa kwanza ameshavurugwa tayari ni kwamba tangu asubuhi yupo hapo kituoni na watu ni wengi sana na alishaapa kuwa hatatoa rushwa ndo mana bado yupo..................ukihitaji t-shirt ya kupigia picha labda kama t-shirt yako ina rangi zisizohitajika inabidi wakupe wao mara moja upigie sasa wanatoa kwa rushwa ya sh 500 na ukitaka upigwe picha fasta itakulazimu utoe 1000 mpaka 2000 ni simple like that kipi kisichoeleweka hapo,akili za kupewa changanya na za kwako ndugu'
acha kushabikia ujinga wewe usingekuwa hapo kwenye tukio ungeelewa? hili sio jukwaa la poor thinkers mkipost vitu kuweni makini basi
 
mtz one

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
4,231
2,000
'huyu ameshavurugwa na kueleweka anaeleweka labda kwa mwenye mawazo mgando hatoweza kumuelewa ila ameeleweka vizuri tu soma hiyo comment ya juu kabla ya hii umeshatafuniwa bado kumeza tu'
hizi hulka zenu pelekeni facebook
 
Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,150
2,000
hakuna rushwa yoyote inayoombwa, ebu wacha kuwaaribia wenzio kazi bana au ulitaka upewe wewe?
Niko hapa toka asubuhi baada ya kujidai mmbishi na sitatoa kitu,kweli watu wa chini wananyanyasika na rushwa hapa mpaka 500 wanapokea ,NIDA fuatilieni hivi vitu hatutungi haya mambo ndio yanayoendelea huku vituoni
 
TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,793
0
Umeambiwa usivae nguo nyeupe we unavaa toa jelo upewe t.shirt nyeusi upigie picha
 
Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,658
2,000
Jana nilikwepo Ubungo NHC pale shuleni. km huna shati linalokubalika unakodi kwa mia tano yapo pale hahaha wabongo kwa biashara haramu
 
deadteja

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
379
225
Biashara halali hiyo mkuu, na kwa jero bado ni rahisi sana.
 
Attachments

  • 1387031110905.jpg
    File size
    63 KB
    Views
    221

Swat

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,200
2,000
Hakuna rushwa yoyote inayoombwa! Ila kwa wenye nguo za rangi zisizotakiwa huambiwa warudi nyumbani wakabadili. Sasa hii ni fursa kwa baadhi ya raia kukodisha nguo zao. Maafisa uandikishaji wala hawana time na
biashara hiyo!.
 
BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,742
2,000
umeandika nini na tuelewe nini hapo? unakimbizwa? andika habari kamili ueleweke

Niko hapa toka asubuhi baada ya kujidai mmbishi na sitatoa kitu,

POLE MKUU INAONEKANA KAMA ULIPITA CHUO ULISHAZOE OPEN PAPER SANA

UKISOMA HAPO JU SIDHANI UNAITAJI MSAADA ZAIDI YA + NA AKILI YAKO
HAPA NI JF SIO KILA KITU UNAMEZEWA
 
BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,742
2,000
jana nilikwepo ubungo nhc pale shuleni. Km huna shati linalokubalika unakodi kwa mia tano yapo pale hahaha wabongo kwa biashara haramu

mimba haramu..watoto haramu ...........,hata shati haramu hamu......
 
mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
620
1,000
'nilivyomuelewa mimi ni kwa kwanza ameshavurugwa tayari ni kwamba tangu asubuhi yupo hapo kituoni na watu ni wengi sana na alishaapa kuwa hatatoa rushwa ndo mana bado yupo..................ukihitaji t-shirt ya kupigia picha labda kama t-shirt yako ina rangi zisizohitajika inabidi wakupe wao mara moja upigie sasa wanatoa kwa rushwa ya sh 500 na ukitaka upigwe picha fasta itakulazimu utoe 1000 mpaka 2000 ni simple like that kipi kisichoeleweka hapo,akili za kupewa changanya na za kwako ndugu'

This is what we call great thinking achana na jamaa anaefikiri kutokuelewa yeye ndio kuna fanya mtu asiwe great thinkers kuna watu hata ukeshe na chaki ubaoni hawaelewi daima na hao ndio wanaijaza Tanzania,kweli nilikua nimevurugwa kwa sababu ya situation niliyoikuta hapo haikua kama nilivyotarajia na walivyokua wanatangaza.Thanks mkuu kwa kuwaelewesha zaidi
 
mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
620
1,000
Hakuna rushwa yoyote inayoombwa! Ila kwa wenye nguo za rangi zisizotakiwa huambiwa warudi nyumbani wakabadili. Sasa hii ni fursa kwa baadhi ya raia kukodisha nguo zao. Maafisa uandikishaji wala hawana time na
biashara hiyo!.

Acha ubishi usiokua na maana, mimi nilikua kituoni na niliona hali halisi ilivyokua,kulikua na rushwa na kujuana,achilia mbali wazee,wamama wajawazito na wenye watoto waliokua wanahudumiwa kwa haraka mazingira mengine ya raia wa kawaida wafuga mbwa kama mimi haya kua rafiki kabisa na harufu ya uharamu kila kona naongea kitu ambacho nimekiface na nikakabiliana nacho sizungumzii hadithi hapa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom