Huyo atakuwa alilewa si bure..vijana wa kinondoni wanasifa sana wakilewa
Hivi tunakoelekea naona kiswahili kinakuwa kigumu kuliko kiingereza, maana naona makosa ya matamshi ya kiswahiki yanakuwa mengi sana. nadhani hii inatokana na shule za english medium ndio zimesababisha watu kutojua kiswahili fasaha. (ajali au ajari)?
Unamkosoa mwenzio wakati wewe mwenyewe kuandika hujui
Hahahah,,,,,,,, soma vizuri ulivyoandika lol
Usitoe boriti kwenye jicho la mwenzio angalia kwako kwanza
eti kiswahiki badala ya kiswahili
Hivi tunakoelekea naona kiswahili kinakuwa kigumu kuliko kiingereza, maana naona makosa ya matamshi ya kiswahiki yanakuwa mengi sana. nadhani hii inatokana na shule za english medium ndio zimesababisha watu kutojua kiswahili fasaha. (ajali au ajari)?
Hiyo ni mutu ya Kenya inaandikaga ivo ujue. Mitu nyingi ya Kenya hapana kujua Kiswahili muzuli ati. Musamehe muzee, hata Ojwang iko anajua, Mulira kaongelea sijui nini iko kusema Kiswahili ya East African Community iko anakaa vipi siku ya mbeleni.Hivi tunakoelekea naona kiswahili kinakuwa kigumu kuliko kiingereza, maana naona makosa ya matamshi ya kiswahiki yanakuwa mengi sana. nadhani hii inatokana na shule za english medium ndio zimesababisha watu kutojua kiswahili fasaha. (ajali au ajari)?
Hii haisababishwi na shule za English medium. Ni athari ya lugha ya asili (mother tongue effect). Yako makabila yanashindwa kutofautisha kati ya l na r. Wizara ya elimu ikishirikiana na Baraza la Kiswahili ilitakiwa ione kuwa makosa haya hayafanyiki kwa kuwa na somo la oral Kiswahili na English ili kuwasahihisha wanafunzi. Since nobody cares unakuta hata walimu wakifanya makosa yaleyale. Mahafari badala ya mahafali; kula badala ya kura; madhala badala ya madhara na mengine mengi. Inatia kichefuchefu. Ukichunguza utakuta kwenye karibu makabila yote liko tatizo la kushindwa kutamka baadhi ya maneno sawasawa. Kwa ujio wa shule za kata ambapo mwanafunzi hana tena bahati ya kutoka alikozaliwa hali hii inazidinkuwa mbaya zaidi. Thupu badala ya supu. Jika badala ya rika na nji badala ya nchi. Fwagia hapa badala ya fagia hapa. Manyalia badala ya malaria etc.
Hivi tunakoelekea naona kiswahili kinakuwa kigumu kuliko kiingereza, maana naona makosa ya matamshi ya kiswahiki yanakuwa mengi sana. nadhani hii inatokana na shule za english medium ndio zimesababisha watu kutojua kiswahili fasaha. (ajali au ajari)?
Naskia vijana watatu waliokuwa wametoka Disco Kibo Complex!
Hivi tunakoelekea naona kiswahili kinakuwa kigumu kuliko kiingereza, maana naona makosa ya matamshi ya kiswaHIKI yanakuwa mengi sana. nadhani hii inatokana na shule za english medium ndio zimesababisha watu kutojua kiswahili fasaha. (ajali au ajari)?
bado hujajua anatoka mkoa gani?Hivi tunakoelekea naona kiswahili kinakuwa kigumu kuliko kiingereza, maana naona makosa ya matamshi ya kiswahiki yanakuwa mengi sana. nadhani hii inatokana na shule za english medium ndio zimesababisha watu kutojua kiswahili fasaha. (ajali au ajari)?