Ajali daraja la Kawe/Mlalakuwa

Ajali daraja la Kawe/Mlalakuwa

Hivi tunakoelekea naona kiswahili kinakuwa kigumu kuliko kiingereza, maana naona makosa ya matamshi ya kiswahiki yanakuwa mengi sana. nadhani hii inatokana na shule za english medium ndio zimesababisha watu kutojua kiswahili fasaha. (ajali au ajari)?

elewa kwa watanzania wengi bado kiswahili ni lugha ya pili baada ya lugha zetu za asili, makosa kama hayo ni kawaida tu. Hata marekani na uingereza viingereza vinatofautiana kulingana na mahali watu wametoka, cha muhimu ujumbe kufika!
 
Mhanga ni Kijana mchakarikaji toka Tanga. Anatembeza chupa za gesi ya kupikia jijiji kwa kutumia malori. Kazi anafanya Kawe. Anaitwa Kiduku Mgosi. Gari kanunua haijamaliza mwezi. Da ndugu watamkosa sana (bread earner).

Kwao ufukweni Masaki hivi. Anasafirishwa kesho kwenda kwao.

RIP Kiduku tutakukumbuka kwa Ucheshi na kazi
 
Nikajua page saba zote lazima nitakuta angalau mmoja au wawili wameelezea namna ya ajali au wanawafahamu marehemu, mmejaza ujinga wa kukosoana typing error. Wabongo kujifanya wajuaji tunaongoza. Embu tuwe great thinkers jamani haya mengine ni ya chekechea hayana hadhi yetu kabisa
 
Pole kwa wafiwa, ujana + kilevi + gari = deadly combination

Usitake kutoa lawama bila kuwa na uhakika hasa ni nini kilitokea. We mwombe mungu isikukute ama jamaa yako wa karibu yasimkute.
 
Usitake kutoa lawama bila kuwa na uhakika hasa ni nini kilitokea. We mwombe mungu isikukute ama jamaa yako wa karibu yasimkute.

Ok, ila sitoi lawama bali angalizo kwetu tulio bado hai, wao safari yao hapa duniani imekwisha.
 
Unamkosoa mwenzio wakati wewe mwenyewe kuandika hujui
Hahahah,,,,,,,, soma vizuri ulivyoandika lol
Usitoe boriti kwenye jicho la mwenzio angalia kwako kwanza
eti kiswahiki badala ya kiswahili

No one is perfect brother...
 
huyu bwana bila shaka alikuwa kalewa na alikuwa anaendesha spidi ya 220 au zaidi sio bure

Mmh!!! kwa muonekano wa haraka wa hilo gari sidhani kama max speed yake ni 220kph...

Huyu alikuwa matingasi na huo ndio ujira wake...
 
Mmh!!! kwa muonekano wa haraka wa hilo gari sidhani kama max speed yake ni 220kph...

Huyu alikuwa matingasi na huo ndio ujira wake...
Mkuu yaelekea wewe hujawahi kupata ajali. Usimlamu mtu yeyoye kwa kupata au kusababisha ajali regardless alikuwa kwenye situation gani.
 
Mkuu yaelekea wewe hujawahi kupata ajali. Usimlamu mtu yeyoye kwa kupata au kusababisha ajali regardless alikuwa kwenye situation gani.

Nimekusoma mkuu...

Lakini kwa habari ya kunywa pombe na kuendesha gari sote tunajuwa kuwa huwa haishauriwi...

Hapo juu nimesoma mdau mmoja kaandika kuwa dereva na jamaa wengine wawili walikuwa wanatokea Kibo Complex kule Tegeta (huko walikuwa wakipata masanga)...

Sasa tusiite huo ni uzembe wa kuendesha huku mwilini kukiwa na kilevi??

Tusipokemea haya huoni kuwa kesho wengine na wengine watafanya kosa hili hili??
 
Kunywa na kuendesha siyo tatizo. Tatizo ni kiwango cha alcohol (blood alcohol content/concentration). Kama jamaa alizidisha sawa. But sababu inaweza kuwa nyingine kabisa. Nimefuatilia hii thread but sijaona popote kuwa nini hasa kilisababisha hii ajali.

Ndio maana mkuu nimekishauri tu usijump into conclusion kuwa pombe ndio iliyomsababishia hii ajali.
 
Nilipitia comments hizi hapa kaka...so i don't know if these people were only tryin to speculate ama, ila niliamini posts zao.

Naskia vijana watatu waliokuwa wametoka Disco Kibo Complex!

Pombe mbaya sana

Pia nikamsoma na huyu jamaa hapa chini, nikagundua kuwa marehemu alikuwa na uzoefu wa kuendesha magari hivyo kwa comments za waliotangulia most likely kuna sababu nyingine zaidi ya uzembe...

Mhanga ni Kijana mchakarikaji toka Tanga. Anatembeza chupa za gesi ya kupikia jijiji kwa kutumia malori. Kazi anafanya Kawe. Anaitwa Kiduku Mgosi. Gari kanunua haijamaliza mwezi.

All in all ngoja basi tuache haka kamjadala mkuu, maana kwa namna nyingine wapo walioguswa na msiba huu moja kwa moja, tutakuwa tunawaumiza tu.
 
Mhanga ni Kijana mchakarikaji toka Tanga. Anatembeza chupa za gesi ya kupikia jijiji kwa kutumia malori. Kazi anafanya Kawe. Anaitwa Kiduku Mgosi. Gari kanunua haijamaliza mwezi. Da ndugu watamkosa sana (bread earner).

Kwao ufukweni Masaki hivi. Anasafirishwa kesho kwenda kwao.

RIP Kiduku tutakukumbuka kwa Ucheshi na kazi

.. R.I.P Kiduku.
 
Nilipitia comments hizi hapa kaka...so i don't know if people were only tryin to speculate ama, ila niliamini posts zao.

Pia nikamsoma na huyu jamaa hapa chini, nikagundua kuwa marehemu alikuwa na uzoefu wa kuendesha magari hivyo kwa comments za waliotangulia most likely kuna sababu nyingine zaidi ya uzembe...

All in all ngoja basi tuache haka kamjadala mkuu, maana kwa namna nyingine wapo walioguswa na msiba huu moja kwa moja, tutakuwa tunawaumiza tu.

watanzania tufike mahali tuambieni ukweli ili tusaidiane

anaweza kuwa mchacharikaji, mtu wa maana etc. lakini kama alikunywa pombe, akalewa na kuendesha gari na likamshinda, basi tukubali kwamba alifanya makosa kwa kuchezea uhai wake

Tuna mifano ya kutosha kabisa ambapo very innocent people wamekufa kutokana na ajali ambazo zinazuilika kwa kuacha ulevi na kuendesha magari
 
Nimefuatilia post zote hakuna hata mmoja aliyeeleza chanzo cha ajali au hata majina ya waliokufa,zaidi watu wanapiga porojo tu! Nawaombeni watu wanaopenda porojo waende jukwaa la chit chat haya mambo mengine ni facts na yanahitaji kuelezwa kwa ukweli na uhalisia. It is boring, page 4 hakuna cha maana kilichoandikwa.
 
watu hamjadili ajali wala kutoa pole kwa walioathirika mnajadili lugha. Pole kwa waathrika wa mkasa huu
Nakubaliana na wewe kwenye hili! Yaani huwa nakereka sana kwakweli! Mungu awafariji na kuwarehemu wote walioguswa na hili
 
Acha hizo inamaana ndio hawajui kiswahili nyankundo?😱
 
Watu wame-modify msemo wa 'dont drink and drive".

Wao wamekuja na wao usemao "DON'T DRINK AND DRIVE AT THE SAME TIME",

BUT YOU CAN DRINK AND THEN DRIVE "

Matokeo yake ndio haya!!
 
Back
Top Bottom