The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,149
- 2,536
Mwenzenu nina muda mrefu tangu nijiunge lakini hayo mnayoyasema hayajanikuta na wala sina mpango nayo nashukuru imenikutanisha na marafiki zangu wa shule na chuo tulioachana nao siku nyingi cha muhimu ni wewe kujitambua chukua cha muhimu na achana na vinavyokukwaza