Recent content by muzachai

  1. M

    Ukweli kuhusu tanzania loans society

    Msingi hoja Kama mtu hajasajiriwa tigo pesa jina haliwezi kuonekana na ili atoe pesa anapewa code namba fulani na anayemtumia ndio huwa anakatwa. Huyu mtu jina lake linaonekana maana kuwa amesajiliwa. Sema TIGO wameona aibu wamemblock, lakini huyu ni subscriber...
  2. M

    Nimeibiwa ATRIUMS hotel Sinza.

    Usijaribu hata siku moja kuacha vitu reception siku ya kuondoka wanachora mpango na wezi wanakupora njiani. yaani sijui ufanyaje.
  3. M

    Naweza kujenga nyumba kwa TZS Milioni 20?

    5: Simba dumu geji 30 zinc colgated kwa bei za jumla lakini uwe na jamaa wanaozijua. Madirisha + milango ni mbao tu kiongozi plan la paa liwe futi na ni mgongo wa tembo.
  4. M

    SUMATRA yasitisha mabasi 14 ya Dar Express

    Ndugu wasafiri wenzangu; mara nyingi tunaposafiri safari ndefu tunashuhudia ajali nyingi sana barabarani za watu( wapita njia) kugongwa na mabasi ambapo baadhi hufa au kupewa vilema vya maisha. ajali hizi huwa hazipewi kipaumbele na polisi hata na media...
  5. M

    SUMATRA yasitisha mabasi 14 ya Dar Express

    tuache kutetea maovu. kugonga mtu kwa gari ni kosa. sema sheria au kisu hiki cha sumatra kipite kwenye mabasi yote. air msae tangu apigwe chini amejirekebisha sasa hivi ndio metro check huduma zake kwenye basi lake la luxury. kuna mabasi ya njia...
  6. M

    SUMATRA yasitisha mabasi 14 ya Dar Express

    nauli zake haziendani na huduma wanazotoa. mfano kuna basi limepewa hadhi ya luxury na nauli ni shilingi 30,000 likiwa na maana ya full ac and tv. lakini ukilipanda neither tv nor ac. full vurugu. ticketi na namba ya basi ninayo kwa ushahidi hii ni...
  7. M

    SUMATRA yasitisha mabasi 14 ya Dar Express

    mh huo si uungwana hata kidogo, maana huyo mmoja aliyekufa anaweza kuwa na familia kubwa inayomtegemea. akifa tu maisha kwa famiia yanakuwa shagara bagara.
  8. M

    Naweza kujenga nyumba kwa TZS Milioni 20?

    vyumba vinne means one bed room, sebule moja, jiko na stoo moja na choo kimoja. ila vyote vinakuwa ndani chumba kimoja cha msingi wa kozi tatu ni matofari 300 * 4 = 1200 au kozi tano ni matofari 500 * 4= 2000 maximum tofari 3000/50 = 60...
  9. M

    Tunasherekea miaka hamsini ya kuzaliwa kwa tanganyika na sio tanzania

    Hapa jamani nimechanganyikiwa kabisa uhuru wa tanganyika 9 december 1961 uhuru wa zanzibar kutoka kwa sultani 12 january 1964 muungano wa tanganyika na znz 26 april 1964 ndio iliunda tanzania sasa hiyo miaka 50 ya uhuru wa tanzania inatoka wapi naomba...
  10. M

    Matamshi haya bodi yanauma sana

    Hili ni janga la kitaifa ambalo serikali imejitakia yenyewe. hapo mwanzo kabla ya mfumo huu kuna vyuo vichache tu vilikuwa ndani mfumo wa bodi like udsm na vishiriki vyake, sua, mzumbe na vingine nilivyosahau. Mwanafunzi yoyote atakayechaguliwa katika...
  11. M

    Hongera jk kwa kuzuia vibanda vyetu kubomolewa.

    Asante mkuu wa nchi. Nakumbuka usemi wa mzee mmoja ambae alisema" atakachosema mkuu wa nchi hadharani kugeuka kama sheria" . hivyo basi tunaomba TANROAD , watendaji wa ardhi MTULIE. Acheni kutunyanyasa tumejima we kukajenga sasa mnatuonea donge na tujibanda...
  12. M

    Hoja ya Shossi juu ya sh. 500/- ya babu

    hii ni kali kweli kweli. kuwaona watumishi wa mungu katika makanisa yote ni gharama. mfano ubungo, mwenge, mbezi. mikocheni na kadhalika. mimi nahitaji huduma na ninakaa buyuni -chanika . kutoka buyuni mpaka mwenge ni shilingi 2600 kwenda na kurudi. (mpaka...
  13. M

    mwalimu wa hisabati darasa la sita

    ualimu ni kazi ngumu lakini at the end of the year unatakiwa ufaurishe wanafunzi wote. hivyo strategy ya kwanza ni kuanza kuwa groom standard six kuwa kama LAST YEAR(LY). Wakifika ly wanakuwa wamekomaa kabisa. hivyo basi shule ya bunge huwa inafaurisha...
  14. M

    Mateja yabeba mabomu kwa ajiri ya chuma chakavu kinyamwezi

    Baada ya jeshi kushindwa kukusanya vipande vya mabomu. mateja wa maeneo ya pugu kinyamwezi na dampo walifanya kazi ya kuanza kukusanya vipande vya vyuma vya mabaki ya mabomu ili wapeleke kwa wanunua scrap ili wajipatie mkate wao wa siku bila uoga...
  15. M

    Eti ndo kuku . . .TAHADHALI: Usifungue kama wewe ni rahisi kupata KICHEFUCHEFU

    haswa hao ni simbilisi aka pimbi wanafanana sana na panya halafu huwa na mafuta sana. wakazi wa iringa msosi huo wanaujua vizuri sana . ukimuona pimbi utafikiri panya.
Back
Top Bottom