Matamshi haya bodi yanauma sana
msani
JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
1,708
Points
2,000
msani
JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
1,708 2,000
Wana JF leo jioni mkurugenzi msaidizi wa elimu wa bodi ya mikopo amesema, nammnukuu:
"WANAFUNZI WALIOKOSA MIKOPO MWAKA HUU WAJARIBU MWAKA KESHO"
nawaonea huruma watoto wa wakulima waliozungukwa na mdini na rasilimali kibao, nadhani mwaka kesho hali itakuwa mbaya zaidi,huku watoto wa vigogo wakipeta ktk elimu bora.
Mnasemaje jamani wana jf?
POMPO
JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
6,690
Points
1,195
POMPO
JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
6,690 1,195
Its real painful speech, ok aliongea kwa kutumia masaburi type. No p time will come.
Mbopo
JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2008
Messages
2,532
Points
0
Mbopo
JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2008
2,532 0
Let's face it. Bodi ya Mikopo siyo bottomless pit ambayo inaweza ku-accommodate kila request hasa ukizingatia kwamba idadi ya waombaji inazidi kuongezeka. Mimi nafikiri Bodi imeongea ukweli kuhusu uwezo wake wa kukidhi mahitaji yanayoongezeka kila kukicha. Umefika wakati sasa sisi wananchi tubadilike na kusaidiana katika masuala muhimu kama elimu kama tunavyofanya kwenye maharusi na vipaimara ambavyo tunaishia kunywa na kula tu. Tutaendelea kulaumu serikali kila wakati na huku sisi tukiwa hatuna mchango katika tatizo hili.
Gracious
JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Messages
1,809
Points
1,500
Gracious
JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2011
1,809 1,500
Let's face it. Bodi ya Mikopo siyo bottomless pit ambayo inaweza ku-accommodate kila request hasa ukizingatia kwamba idadi ya waombaji inazidi kuongezeka. Mimi nafikiri Bodi imeongea ukweli kuhusu uwezo wake wa kukidhi mahitaji yanayoongezeka kila kukicha. Umefika wakati sasa sisi wananchi tubadilike na kusaidiana katika masuala muhimu kama elimu kama tunavyofanya kwenye maharusi na vipaimara ambavyo tunaishia kunywa na kula tu. Tutaendelea kulaumu serikali kila wakati na huku sisi tukiwa hatuna mchango katika tatizo hili.
You have a point, But unajua kodi zinazokusanywa na tuliowapa jukumu hilo(Serikali) zinavyotumika? Laiti ungejua usingeweka hii post yako
MtamaMchungu
JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Messages
4,686
Points
2,000
MtamaMchungu
JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2011
4,686 2,000
Let's face it. Bodi ya Mikopo siyo bottomless pit ambayo inaweza ku-accommodate kila request hasa ukizingatia kwamba idadi ya waombaji inazidi kuongezeka. Mimi nafikiri Bodi imeongea ukweli kuhusu uwezo wake wa kukidhi mahitaji yanayoongezeka kila kukicha. Umefika wakati sasa sisi wananchi tubadilike na kusaidiana katika masuala muhimu kama elimu kama tunavyofanya kwenye maharusi na vipaimara ambavyo tunaishia kunywa na kula tu. Tutaendelea kulaumu serikali kila wakati na huku sisi tukiwa hatuna mchango katika tatizo hili.
Haya matatizo yote siyo ya funds, mengi na makosa ya system yao ya OLAS. And what you see now is just the begining, more troubles will start when the new academic year begins. To say the least The system is crap, not user friendly, totally disorganized. It was hard even for continuing students to use it, how about the watu wa vijijini. We need to re-evaluate the systems we use especially when they deal with critical issues like Loan and Higher Education application.
Ngonini
JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2010
Messages
2,024
Points
1,195
Ngonini
JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2010
2,024 1,195
Let's face it. Bodi ya Mikopo siyo bottomless pit ambayo inaweza ku-accommodate kila request hasa ukizingatia kwamba idadi ya waombaji inazidi kuongezeka. Mimi nafikiri Bodi imeongea ukweli kuhusu uwezo wake wa kukidhi mahitaji yanayoongezeka kila kukicha. Umefika wakati sasa sisi wananchi tubadilike na kusaidiana katika masuala muhimu kama elimu kama tunavyofanya kwenye maharusi na vipaimara ambavyo tunaishia kunywa na kula tu. Tutaendelea kulaumu serikali kila wakati na huku sisi tukiwa hatuna mchango katika tatizo hili.
Hivi wewe Popo sijui mbopo, wakati wanamagamba wanajisifia wanaongeza wahitimu wa shule za sekondari na kujenga vyuo vikuu vingi na tena chuo cha ccm chenye uwezo wa kuchukuwa wanafunzi 40k wanategemea ni mtanzania gani ataweza kumudu gharama za elimu ya juu wakati wameendelea kuwanyonya kwa kila kitu?
Watabadilisha sana vigezo vya kutoa mikopo lakini ukweli ni kwamba serikali imefirisika na haina uwezo wa ku met hata matumizi ya kawaida mbali na huduma muhimu za elimu na afya.
We need political change to address this Mess period
Said Bagaile
JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2011
Messages
686
Points
0
Said Bagaile
JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2011
686 0
Nilimsikiliza yule Masaburi, nikaona kichefuchefu nikafungulia muziki. Anadanganya live kuhusu historia ya mikopo, eti ilikuwepo kabla na hata baada ya Uhuru! Mbaya zxaidi ni pale alipokuwa anadanganya as if anaongea na kindergateen, kwamba waliokuwa wanakopeshwa kipindi cha nyuma, wakimaliza chuo walikuwa wanaajiriwa serikalini, halafu walikuwa wanakatwa 60% ya mishahara yao ya mwezi! Ni uongo wa mchana. Hakuna sheria yoyote duniani inayoruhusu mtu kukatwa mkopo zaidi ya 40% ya mshahara wake. Hata mimi nimemaliza mlimani 1997, sijawahi kuona mtu anayekatwa hivyo! Hii ndio TZ yetu.
Bornvilla
JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Messages
925
Points
195
Bornvilla
JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2011
925 195
Vigezo ni vingi jamani. Waliokosa wengi ni wenye uwezo wa kujilipia.Mfano mtu amemaliza f4 mwaka 90,si huyu anakazi kwanini asijilipie? Au mtu amesoma st.mary's analipa milion moja na zaidi anashindwa nini leo kujilipia? Mkopo ni wa makabwela! Wapo wengi tu wenye uwezo mkubwa lakini kwa mfumo uliopita walikuwa wanapata mkopo hali ambayo sio sawa na si haki kwa kuwa wanawabana wale wahitaji wakubwa ambao ni maskini. Kwa mfanyakazi anaweza kujibanabana lakini pia ukumbuke mwajili wake anamlipia sasj mkopo apewe wanini? Mkopo wapewe wahitaji. Tatizo wabongo tunapenda vya bwerere mno japo utarudisha,kiukweli tunahusudu starehe.Nenda vyuoni uone huo mkopo unafanyiwa nini zaidi ya starehe.Watanzania tuwe wakweli jamani!
Rogie
JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
7,493
Points
2,000
Rogie
JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
7,493 2,000
Kwahvyo wataka kusema kuwa waliokosa wana uwezo wa kulipa...nataman nikutwange ngumi mshenzi ww. Wazazi wetu wamefariki mwaka jana mdogo wangu amesoma private za wazazi..na amefaulu kwa kiwangi kizuri na bodi hawajampa mkopo afu unaleta upuuzi wako hapa.
NIMIMI
Senior Member
Joined
Apr 2, 2011
Messages
170
Points
170
NIMIMI
Senior Member
Joined Apr 2, 2011
170 170
Vigezo ni vingi jamani. Waliokosa wengi ni wenye uwezo wa kujilipia.Mfano mtu amemaliza f4 mwaka 90,si huyu anakazi kwanini asijilipie? Au mtu amesoma st.mary's analipa milion moja na zaidi anashindwa nini leo kujilipia? Mkopo ni wa makabwela! Wapo wengi tu wenye uwezo mkubwa lakini kwa mfumo uliopita walikuwa wanapata mkopo hali ambayo sio sawa na si haki kwa kuwa wanawabana wale wahitaji wakubwa ambao ni maskini. Kwa mfanyakazi anaweza kujibanabana lakini pia ukumbuke mwajili wake anamlipia sasj mkopo apewe wanini? Mkopo wapewe wahitaji. Tatizo wabongo tunapenda vya bwerere mno japo utarudisha,kiukweli tunahusudu starehe.Nenda vyuoni uone huo mkopo unafanyiwa nini zaidi ya starehe.Watanzania tuwe wakweli jamani!
nadhani huna uwezo wa kudadavua mada ndo maana unatumia MASABURI kuendesha akili zake. Vyabwerere? Ikoje ikiwa mtu analipa na ameshasikia mwanaf kala ada kashindwa kusoma? Unapokopa unafahamu una shida haiwezekani ukakopa ikiwa huna ulazima. Amuru akili zako kwenda sambamba na mdomo wako lasivyo Nafsi itatawala maamuzi yako na utapata matatizo. Jitu zima umachangia mambo yasiyo na maana pu****fu!
Bornvilla
JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Messages
925
Points
195
Bornvilla
JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2011
925 195
Kwahvyo wataka kusema kuwa waliokosa wana uwezo wa kulipa...nataman nikutwange ngumi mshenzi ww. Wazazi wetu wamefariki mwaka jana mdogo wangu amesoma private za wazazi..na amefaulu kwa kiwangi kizuri na bodi hawajampa mkopo afu unaleta upuuzi wako hapa.
Huwa sina tabia ya kubishana na waliochanganyikiwa. Ngoja! We umesoma chuo gani? Hujaona wanaomiliki maduka makubwa na vx,halafu wanaomba mkopo? Na wanapewa sehemu kubwa ya t.fee? Hujaona wanafunzi starehe wanazofanya baada ya kupata boom? Jamani mkopo nimesema ni kwa wale wenyeshida na maskini! Kwanini mnauwezo wa kujilipia milion moja pritate ushindwe na milio mbili? Haifai!
Bornvilla
JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Messages
925
Points
195
Bornvilla
JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2011
925 195
nadhani huna uwezo wa kudadavua mada ndo maana unatumia MASABURI kuendesha akili zake. Vyabwerere? Ikoje ikiwa mtu analipa na ameshasikia mwanaf kala ada kashindwa kusoma? Unapokopa unafahamu una shida haiwezekani ukakopa ikiwa huna ulazima. Amuru akili zako kwenda sambamba na mdomo wako lasivyo Nafsi itatawala maamuzi yako na utapata matatizo. Jitu zima umachangia mambo yasiyo na maana pu****fu!
We inaonekana huna adabu! Kama unahasira wafuate hao watu wa bodi.Soma post zangu vizuri ili uelewe! Usikariri unachojua na usiwe rigid kubali kutwist mind yako. Mkopo ni kwa wale wenye uhitaji tu.Nyie ndo wale wote wanaolilia mkopo wakati kwenu mnauwezo,chakulilia mkopo mnataka mkatese badala ya kwenda kusoma.
Mwakalinga Y. R
JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2008
Messages
2,722
Points
1,225
Mwakalinga Y. R
JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2008
2,722 1,225
Hii inaonyesha jinsi gani serikali isivyo ma mipango madhubuti ya kuwapa wananchi wake huduma za kijamii .Kweli hii ni fedheha nyingine kwa serikali ya mh Jk.Wanatakiwa wajipange upya kwani wanafunzi wanaongezeka kila mwaka
muzachai
Member
Joined
Apr 30, 2009
Messages
41
Points
0
muzachai
Member
Joined Apr 30, 2009
41 0
Hili ni janga la kitaifa ambalo serikali imejitakia yenyewe. hapo mwanzo kabla ya mfumo huu kuna vyuo vichache tu vilikuwa ndani mfumo wa bodi like udsm na vishiriki vyake, sua, mzumbe na vingine nilivyosahau. Mwanafunzi yoyote atakayechaguliwa katika vyuo hivyo anapata direct sponsorship kutoka serikalini no matter what. vyuo vingine vilikuwa chini ya wizara such as ifm,tia, (hazina), cbe(biashara na viwanda) na vingine vingi unavyovijua. hivyo basi wizara zilikuwa zinawasponsor wanafunzi zinaowataka ambao walikuwa 50 % ya wanafunzi wote. other percent walikuwa ni private na wanajiripia wenyewe. Na hawa wanafunzi walikokuwa sponsered na wizara walikuwa wanapewa pesa ya chakula tu( meal allowance) na serikali pesa inayobakia ilikuwa inalipwa na wizara like tuition fee , book and stationaries and field allowances ambazo zilikuwa higher than za watoto wa udsm na vishiriki vyake.
Mwaka 2006 serikali huu( wizara ya sayansi na technologia wakati huo ) ikaona donge ikatoa waraka kuwa pesa zote zipelekwe bodi ya mikopo na wao ndio wawape wanafunzi. Wizara zikagoma kwa sababu pesa hizo ni kutoka kwa donors hivyo hawana jeuri ya kutoa kwa taasisi zingine zitumie fungu hilo.
mwaka 2007 ndo ikaanza hiyo michakato kwamba wanafunzi wote wanaosoma au ambaye yupo chuo chochote kinachotambulika na tcu ana haki ya kupata mkopo. hapa ndo shida ilipo anzia. kwa mfumo huu kuna watu walichaguliwa zaidi ya vyuo vitatu wakalamba mshiko (boom) kutoka vyuo vyote halafu baadae anajoin kimoja tu. kuna jamaa aliramba mishiko ya vyuo vitatu mpaka akiwa mwaka wa pili.
serikali ilifikili kazi itakuwa ni rahisi walichokisahau walikuwa hawana data sahihi za wanafunzi wanaojoin chuo ndio maana wameshindwa
Lonestriker
JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
640
Points
195
Lonestriker
JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
640 195
Tupende tusipende,tuchukie au tufurahi ukweli unabaki pale pale kwamba hatuna uwezo wa kulipia wanafunzi wote waliopata daraja la kwanza na la pili.Cha msingi ni kuweka priority based on courses and special need students kama wenzetu wa Uganda au tuwekee utaratibu wa kusubiriana kama Kenya wanavyofanya ambapo anaetaka mkopo anasubiri miaka miwili.Watanzania tufunge mikanda na kuacha kuweka kipaumbele kwenye mambo yasiyo ya msingi...ona miss Tanzania anapewa gari la milioni 72 ilhali wenzetu miss kenya anapewa tv tu...sijataja michango yetu ya harusi na birthday party.
Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2011
Messages
4,765
Points
0
Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2011
4,765 0
Wana JF leo jioni mkurugenzi msaidizi wa elimu wa bodi ya mikopo amesema, nammnukuu:
"WANAFUNZI WALIOKOSA MIKOPO MWAKA HUU WAJARIBU MWAKA KESHO"
nawaonea huruma watoto wa wakulima waliozungukwa na mdini na rasilimali kibao, nadhani mwaka kesho hali itakuwa mbaya zaidi,huku watoto wa vigogo wakipeta ktk elimu bora.
Mnasemaje jamani wana jf?
Kwanini BODI YA KIKOPO NA ISIWE SERIKALI INAYONUKA UFISADI YA CCM ? Ni ujinga sana kuihoji bodi ya mikopo kwa swala ambalo ni la serikali,nafikiri CDM wamepata karata ya kuchezea Igunga kwani nafikiri hata huko igunga kuna Watz waliokumbwa na ushenzi wa kunyimwa elimu...
Forum statistics
Threads 1,392,465
Members 528,629
Posts 34,109,996
Top