Naweza kujenga nyumba kwa TZS Milioni 20?

vyumba vinne means one bed room, sebule moja, jiko na stoo moja na choo kimoja. ila vyote vinakuwa ndani

chumba kimoja cha msingi wa kozi tatu ni matofari 300 * 4 = 1200

au kozi tano ni matofari 500 * 4= 2000

maximum tofari 3000/50 = 60 mifuko ya cement. * 14000= 840,000
mafundi matofali + mchanga + machine+ kumwagilia= 900,000

fundi kujenga mpaka linta + kupiga linta na kuinua kozi za juu= 2,000,000

fundi kuezeka 600,000

mbao treated ( inategemea na design) maximum= 1,000,000

bati 28 geji 120 * 160,000= 2,300,000

dirisha moja 240000 * 10 = 2,400,000

milango 7 * 150,000= 1,050,000

kupiga ripu fundi + cement + mchanga = 800,000( ndani) + 800,000 ( nje)

gypsum = 60 * 14,000= 840,000

fundi gypsum + rangi= 600,000

tyles nyumba yote = 1,500,000

fundi tiles= 500,000

wiring vifaa= 1,500,000

fundi wiringi = 600000

pigeni jumla ni ngapi haya ni mahesabu ya juu sana
 
Kwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( I assume uko Dar es Salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza):
  1. Matofali 5,000 @700=TZS3,500,000
  2. Mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
  3. Cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
  4. Mbao zote TZS4,000,000/=
  5. Bati 60 @ 15,000=900,000/=
  6. Fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
  7. Finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
  8. Finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=

Inakaribia na ukweli kidogo, ila madirisha na milango itakuwa ngumu labda uweke ya cyprus au pines!!!
 
vyumba vinne means one bed room, sebule moja, jiko na stoo moja na choo kimoja. Ila vyote vinakuwa ndani

chumba kimoja cha msingi wa kozi tatu ni matofari 300 * 4 = 1200

au kozi tano ni matofari 500 * 4= 2000

maximum tofari 3000/50 = 60 mifuko ya cement. * 14000= 840,000
mafundi matofali + mchanga + machine+ kumwagilia= 900,000

fundi kujenga mpaka linta + kupiga linta na kuinua kozi za juu= 2,000,000

fundi kuezeka 600,000

mbao treated ( inategemea na design) maximum= 1,000,000

bati 28 geji 120 * 160,000= 2,300,000

dirisha moja 240000 * 10 = 2,400,000

milango 7 * 150,000= 1,050,000

kupiga ripu fundi + cement + mchanga = 800,000( ndani) + 800,000 ( nje)

gypsum = 60 * 14,000= 840,000

fundi gypsum + rangi= 600,000

tyles nyumba yote = 1,500,000

fundi tiles= 500,000

wiring vifaa= 1,500,000

fundi wiringi = 600000

pigeni jumla ni ngapi haya ni mahesabu ya juu sana

sio kila mtu anaetaka nyumba
anataka tiles na gypsum....
 
Milioni 20 ni vihela vidogo sana.
Yaani wewe jamaa huwa unaniacha hoi kwa visifa vyako_nafikiri unaishi tanzania yako mwenyewe ambayo watu wengi hawajaifikia na hawajawai kuifikiria.....a common mwananchi 20mil ni hela ya kuipangia malengo kabisa mkuu
 
Boss

Nilikuwa nataka yale matofali ya kuchoma, mekundu. Utanletea mpaka Dar kwa moja kiasi gani?
 
kama uko serious n pm idadi yako...
Halafu nita piga mahesabu yangu
nitakwambia

Nitayahitaji kwa siku za usoni kidogo, nikishajua idadi kamili nitakuandikia. Though kujau range ya bei muhimu, li nijue niyatumie kiasi gani kuhakikisha costs hazizidi milioni 100 :]
 
OK,
MIMI KAMA MIMI SIJAYATUMIA KWENYE SHUGHULI ZANGU
BUT WATU NINAO DEAL NAO WANAYATUMIA KILA SIKU....
KWA HIYO NIKIPATA DATA KAMILI NITAKUTUMIA..
not neccessarily nifanye mimi hiyo bussiness...
 
jamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo dar kwa milioni 20????niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...

thanks,
Siikiliza uliyoshauriwa hasa kwa wale wanaodai utaweza na wakakupa figures.
Unaweza, ila nyumba inaweza isiwe na lipu nje na ndani.
Anza haraka kabla hujapata matatizo ya dunia na zikapungua.
All the best
 
jamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo dar kwa milioni 20????niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...

thanks,

unajua unapata mawazo mengi humu,kiukweli unaweza kufika mbali inategemea unavotaka nyumba iwe! Mi 15 inantosha kbs.nitafute,,,,,uwezi nunua tofali kwa sh 5000,yapo kwa elf 1200..
 
Mgawanyo Wa Vitu Na gharama zilizotajwa hapo chini zipo sahihi kabisa isipokua amesahau mchanga, kokoto na maji. Kama Kweli Unayo M20 Kwa Mara Moja Utaweza kujenga kwa urahisi kuliko gharama za kudunduliza fedha.
Kwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( I assume uko Dar es Salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza):
  1. Matofali 5,000 @700=TZS3,500,000
  2. Mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
  3. Cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
  4. Mbao zote TZS4,000,000/=
  5. Bati 60 @ 15,000=900,000/=
  6. Fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
  7. Finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
  8. Finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=
 
Mimi ningekuwa wewe wala nisingeanza kupanga mipango ya kujenga nyumba. Ningeanza biashara ya kusafirisha nguruwe kwa mchanganuo huu hapa chini
1. Nguruwe 150 wadogo @ 10,000
2.Chakula (mashudu) Tshs 5,000 kwa mwezi kwa nguruwe mmoja
3.Ujenzi wa mabanda Tshs 250,000
4.Mlinzi Tshs 20,000 kwa mwezi
5.Matibabu Tshs 30,000 kwa mwezi.

Nguruwe huchukua miezi 6-8 kwabla ya kuanza kuuzwa. Kwakweli ni biashara nzuri sana na ndani ya miaka miwili unaweza kuwa na hela chafu kiasi cha kugombewa na mademu kama mpira wa kona.
 
At least umeongea neno la kujenga kidogo_lakn sio kukebehi eti 20mil sio hela,
 
Mimi ningekuwa wewe wala nisingeanza kupanga mipango ya kujenga nyumba. Ningeanza biashara ya kusafirisha nguruwe kwa mchanganuo huu hapa chini
1. Nguruwe 150 wadogo @ 10,000
2.Chakula (mashudu) Tshs 5,000 kwa mwezi kwa nguruwe mmoja
3.Ujenzi wa mabanda Tshs 250,000
4.Mlinzi Tshs 20,000 kwa mwezi
5.Matibabu Tshs 30,000 kwa mwezi.

Nguruwe huchukua miezi 6-8 kwabla ya kuanza kuuzwa. Kwakweli ni biashara nzuri sana na ndani ya miaka miwili unaweza kuwa na hela chafu kiasi cha kugombewa na mademu kama mpira wa kona.

Yani unafanya maendeleo ili ugombewe na mademu?!! Lol.
 
Intakua tu kweli kama itakua ni flat terrain especially kwenye substructure! kama kiwanja unacho Kimara i doubt .
 
Mimi ningekuwa wewe wala nisingeanza kupanga mipango ya kujenga nyumba. Ningeanza biashara ya kusafirisha nguruwe kwa mchanganuo huu hapa chini
1. Nguruwe 150 wadogo @ 10,000
2.Chakula (mashudu) Tshs 5,000 kwa mwezi kwa nguruwe mmoja
3.Ujenzi wa mabanda Tshs 250,000
4.Mlinzi Tshs 20,000 kwa mwezi
5.Matibabu Tshs 30,000 kwa mwezi.

Nguruwe huchukua miezi 6-8 kwabla ya kuanza kuuzwa. Kwakweli ni biashara nzuri sana na ndani ya miaka miwili unaweza kuwa na hela chafu kiasi cha kugombewa na mademu kama mpira wa kona.
Watu wanaongelea nyumba wewe unaleta habari za nguruwe..kaz kwelkwel.
 
Intakua tu kweli kama itakua ni flat terrain especially kwenye substructure! kama kiwanja unacho Kimara i doubt .
Exactly.. Akiondoa gharama za msingi pengine million 20 inaweza labda kutosha, #justsaying
 
Back
Top Bottom