Mateja yabeba mabomu kwa ajiri ya chuma chakavu kinyamwezi

Mateja yabeba mabomu kwa ajiri ya chuma chakavu kinyamwezi

muzachai

Member
Joined
Apr 30, 2009
Posts
41
Reaction score
16
Baada ya jeshi kushindwa kukusanya vipande vya mabomu. mateja wa maeneo ya pugu kinyamwezi na dampo walifanya kazi ya kuanza kukusanya vipande vya vyuma vya mabaki ya mabomu ili wapeleke kwa wanunua scrap ili wajipatie mkate wao wa siku bila uoga wowote. Nashukuru mungu nimesalimika lakini hali ilikuwa mbaya sana.
 
hao wamechoka maisha wanaona bora kufa pengine huko kuna neema zaidi kuliko tz
 
Back
Top Bottom