Eti ndo kuku . . .TAHADHALI: Usifungue kama wewe ni rahisi kupata KICHEFUCHEFU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti ndo kuku . . .TAHADHALI: Usifungue kama wewe ni rahisi kupata KICHEFUCHEFU

Discussion in 'Jamii Photos' started by CPU, Feb 11, 2011.

 1. CPU

  CPU JF Gold Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Haya ndio baadhi ya mambo ktk mgahawa mmoja wapo wa kigeni jijini Dar  11.jpg
  22.jpg
  33.jpg
  55.jpg
  44.jpg
  66.jpg
  77.jpg
  88.jpg

  Tuwe makini na kwenda migahawa ya kigeni
   
 2. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nyama ni nyama mkuu usidharau nyama ili mradi nyama na ukila hutapiki.
   
 3. M

  Mkare JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lazima itakuwa tamu... Ila hiyo mbona hata hapa Tzee kuna makabila mengi tu yanakula hiyo kitu?
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  uzuri ni kwamba hii panya moja inacontain all type of vitamins....rather that eating 2kg of ng'ombe au mbuzi...ni kujaza tumbo with less nutrients!!!
   
 5. CPU

  CPU JF Gold Member

  #5
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu umeshawahi kuionja?
   
 6. CPU

  CPU JF Gold Member

  #6
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mzee kuna watu wa makabila yanakula mbwa lakin wamekulia mjini ambapo ataona kinyaa kula nyama hizo
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hiii nyama i tamu saana hamjui tuu!
   
 8. CPU

  CPU JF Gold Member

  #8
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Sawa mkuu lakin najua akina dada ndo wanaongoza kwa kusikia kichefuchefu hata kama kabila zao zina historia ya kula nyama hizo
   
 9. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  aaah tafadhari mkuu............its biological point of view
   
 10. M

  Mkare JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha... Ila hiyo sio kinyaa sana bana, kuna vitu vya kinyaa balaa na bado watu wana naniliu.... ooops! Ngoja nihame jukwaa kwanza, utanikuta kuleeee
   
 11. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  mhh ukikutwa kangarangiza unaweza dhania ni kuku ila no way siliii
   
 12. 2my

  2my JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 30, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmmh hii kitu ht kwa mtutu siwezi .....
   
 13. Joloe

  Joloe Member

  #13
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0  :sad::sad::sad:
  tamu hiyo. ni balaa inazidi utamu wa ile kitu inasababishia sisi gono na ngoma:thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking:
   
 14. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  mchina hiyo...
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hawa wanaitwa simbilisi au samaki nchanga watamu sana
   
 16. m

  muzachai Member

  #16
  Feb 11, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  haswa hao ni simbilisi aka pimbi wanafanana sana na panya halafu huwa na mafuta sana. wakazi wa iringa msosi huo wanaujua vizuri sana . ukimuona pimbi utafikiri panya.
   
 17. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duhh! Jamani naomba masuala ya misosi tusiyajadili sana. Naona wengi wanazungumzia habari ya kinyaa n.k lakini ukikutana na mpishi mzuri wala hutajua kuwa huyo ni panya, paka au mbwa.

  Kikipikwa vizuri kila kitu na halali kuliwa.
   
 18. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pale tutakapoishiwa na vitoweo, ndipo tutakapoamua kujaribu hivi vingine.
  Wenzetu walishaishiwa tangu zamani sana, ndiyo maana walijaribu hivi vingine.
  Good enough, waligundua kuwa ni vitamu kuliko kuku.
  Anyway, nimesikia kuwa nyoka ni mtamu kuliko samaki!!!
   
 19. CPU

  CPU JF Gold Member

  #19
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Haya si mnajifanya wajanja, ngojeni niwaleteeni picha za nyama namba 2
   
 20. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #20
  Feb 13, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ni kweli mkuu, hao wanaitwa samaki nchanga, tehetehetehetehe.
   
Loading...