CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,863
- 687
Daaah!
Ila sikutegemea kabisa yaani.
Juzi tu hapa tulikuwa kwenye MBINU ZA UTONGOZAJI na ukachambua namna ya mtu kujitambua kama umeshatongozwa. Tena tukasema waziwazi MWANAMKE ANAKUWA ANAKUCHORA CHORA KIFUANI???
:smash::smash::smash::smash:
Leo tupo kwenye kuhubiri UTAKATIFU NA MAANDIKO YAKE huku tukihukumu wenzetu na kuwanyooshea vidole???
Hivi ya kwetu ya MBINU ZA UTONGOZAJI tunayakumbuka??? Tumetubu??? Tumeacha kwenda kuchangia mbinu mbalimbali kule uwanja wa AT YOUR OWN RISK???? Tumejiona tulivyo wachafu kabla ya kuchafua wenzetu??? Au huu ndio U Great thinker????