Recent content by muya

  1. muya

    Chuo cha NIT na utendaji mbovu

    Aliyeanzisha mada ameianzisha kama analalamika lakini mwishoni mwa malalamiko yake anaonesha hajui lolote na anaomba msaada wa kujuzwa. Kulikuwa na ugumu gani kuuliza hiyo hoja yako idarani kwako na wala sio kwa mkuu wa chuo. Mlipokuja kuuliza kama ratiba ya cs ipo mkaambiwa mnatumia ya it...
  2. muya

    Chuo cha NIT na utendaji mbovu

    Aliyeanzisha mada ameianzisha kama analalamika lakini mwishoni mwa malalamiko yake anaonesha hajui lolote na anaomba msaada wa kujuzwa. Kulikuwa na ugumu gani kuuliza hiyo hoja yako idarani kwako na wala sio kwa mkuu wa chuo. Mlipokuja kuuliza kama ratiba ya cs ipo mkaambiwa mnatumia ya it...
  3. muya

    Wapi Majina ya waliochaguliwa Kidato cha Kwanza 2015?

    shule za msingi na sekondari (o-level) zipo chini ya TAMISEMI ndio maana vibao vya kuonesha hizo shule siku hizi haviandikwi wwizara ya elimu .... bali Halmashauri ya kijiji/mji/ jiji nk
  4. muya

    ITIKAFU ni nini?

    UNATAKA ITIKAFU. soma hapa nini maana ya itikafu - HAZINA YA MASWALI - islamquest
  5. muya

    Vuguvugu la gas Mtwara,maaskofu wako upande gani?

    Kwa hiyo Baraza la maaskofu mnalotaka kujua msimamo wake ni la "MTWARA"? Hoja zenu kama pakacha linalobeba maji!!!
  6. muya

    Star times hawataki usome taarifa hii.

    Tafuta habari taarifa iliyotolewa ni uongo. Decoder za Star Times zinatumika Uganda, Kenya, nigeria, India na china kwenyewe. Hizo ni kampeni za kibiashara tu usipanic.
  7. muya

    Star times hawataki usome taarifa hii.

    Mmiliki wa gazeti apunguze umbea. Ving'amuzi hivi vinatumika Uganda, Kenya, Nigeria, China, India na sehemu nyingine kibao.
  8. muya

    Kwanini hatuwezi kupata Channel zingine DStv kama Startimes..... kwanini niwe na Decoder mbili?

    Jamani kuingiza channel kwenye king'amuzi tofauti kisicho cha zuku, star times na ting ni makubaliano ya mwenye channel na mmiliki wa king'amuzi. kwa hiyo kama mwenye channel yake anataka ionekane dstv waingie mkataba hata wakiweza waingize zooote za tanzania ni wenye channel zao tu kuamua...
  9. muya

    Serikali Imewekwa Mfukoni na Kampuni ya Multichoice!

    Msilalamike kama hamtaki kusikiliza maelezo ya regulator. TCRA (serikali) wanamikataba ya kurusha matangazo ya digitali kwa njia ya ardhini kwa makampuni matatu tu (Star media, Zuku tv na Ting) na mikataba hiyo inazitaka kampuni hizo kuonyesha bure channel 4 za habari (tbc1, itv, star tv na...
  10. muya

    TCRA, Tunaomba ufafanuzi

    Wale wasio na uwezo wa kununua dish wanashauriwa kununua king'amuzi kimoja kati ya vitatu vyenye mkataba na tcra yaani star times, zuku tv na ting ambapo watazipata channel 5 bure (4 za habari na 1 ya burudani). kama unataka upate nyingi za local nunua king'amuzi cha easy tv. Acheni kulalamika...
  11. muya

    Sahara media na ujio wa king'amuzi cha continental!!

    mi nadhani kuna uvivuwa kufuatilia habari na aina za channel (contents/programms).nikianzana na ndugu KIPS kwenye post yako umesahau kulist kampuni ya ZUKU TV. Mr Lokissa, dunia imeweka mwisho wa kutumia analogy ni kabla ya 2015. Kama wewe ni mtanzania unayeishi tanzania utakuwa unaelewa hulka...
  12. muya

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Nice: 1: AGENCIES Wajanja wachache kuanzisha agence ili kujipangia mishahara mikubwa kutoka kwenye kodi za wavuja jasho. inasikitisha kuona wafanyakazi wa hali ya chini wanakatwa vijisenti vyao kuwalipa mishahara mikubwa jamii za mafisadi. Kwa mfano SSRA (Tume ya kudhibiti mifuko ja jamii)...
  13. muya

    Kova: Maandamano ya DOWANS kesho marufuku!

    kova anatumiwa kisiasa? inakuwaje azuie maandamano kwa madai kuwa kuna tishio la al-shaabab na mwisho wa maongezi yake anasema wananchi wasiwe na wasiwasi na mechi ya simba na yanga kesho hiyohiyo kwa ni wameandaa ulinzi wa kutosha. kwa nini huo ulinzi tusipewe waandamanaji??????????? hii ni siasa
Back
Top Bottom