muya
Member
- Aug 13, 2009
- 58
- 1
Aliyeanzisha mada ameianzisha kama analalamika lakini mwishoni mwa malalamiko yake anaonesha hajui lolote na anaomba msaada wa kujuzwa. Kulikuwa na ugumu gani kuuliza hiyo hoja yako idarani kwako na wala sio kwa mkuu wa chuo. Mlipokuja kuuliza kama ratiba ya cs ipo mkaambiwa mnatumia ya it mngeuliza hapohapo kwa nini mtumie ya it. Inaacha kuuliza sehemu husika unakimbikia jf. Vyuo haviendeshwi na jf. Na hata suala la jengo unalileta hoja yake halipo kwenye matangazo