bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,435
yap inasikitisha ktk suala la kutoweka channel za apa nchini ni tbc1 tu ndio wameweka lakini zingine zilizobaki hazipo cjui kama wanasababu ya msingi lakini huu ndio ungekua mda muafaka kwa msemaji wao akaweka kinagaubaga!!! kuhusu suala la bei cwez laumu kwani ni soko huria labda na ni kwa vile channel wanazoonyesha pia ni za bei kubwa kama supersports nk
inasikitisha kwa kweli kwani inabidi sasa tuwe na vingamuzi viwili ili uweze pata na channel za apa nyumban
inasikitisha kwa kweli kwani inabidi sasa tuwe na vingamuzi viwili ili uweze pata na channel za apa nyumban