Mkuu usajili pale ni wa hovyo kwa mtu ambaye anaenda kwa mara ya kwanza atahangaika sna mpaka kujua utaratibu.Alafu kuna vitu kila siku vinaibuka hii inaleta usumbufu kwan unaweza ukawa umeshakamilisha kitu flan baadae waka kwambia ufanye tena na vitu vingine
Ilikuwa bahati yenu mkuuSas mkuu mbona kwetu haikuwa hvyo mambo yalienda poa kabisa.....................
[HASHTAG]#BeSerious[/HASHTAG]
[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
hakuna me mwenyewe nipo nit nafanya reg
wanafunz tumelunikwa ktk kieneo kimoja km mayai
utaratibu ni mmbovu sana coz watu ni weng mno
Mkuu usajili pale ni wa hovyo kwa mtu ambaye anaenda kwa mara ya kwanza atahangaika sna mpaka kujua utaratibu.Alafu kuna vitu kila siku vinaibuka hii inaleta usumbufu kwan unaweza ukawa umeshakamilisha kitu flan baadae waka kwambia ufanye tena na vitu vingine
Hujielewi wewe,elewa nilichomaanisha,NIT ni imetutoa kimaisha,au unadhani ukisema madereva ni kisehemu maana yake hawa siyo waTanzania?fungua chuo tuone unakiendeshaje,watu wamepita hapo na kisha wakapata mwanya wa kuingia mahala ambapo hawakutegemea nikiwepo na mimi hapa Senior driver.Dereva acha dharau![]()
![]()
![]()
![]()
kile chuo kimesajiriwa 1982 as HIGHER LEARNING INSTUTION kwaiyo madereva ni kisehemu cha biashara pale Kama ilivyo VI ( Vehicle inspection)
Kingine ni Kwamba KATIBA YA SERIKALI YA WANAFUNZI YA NIT iitwayo SONIT CONSTITUTION haiwatambui ndo maana huwa mnanyanyaswa kwa kunyimwa viti ..kumbuka hamplipii ada ya SERIKALI YA WANAFUNZI ...
sorry nimekusaidia
Anazungumzia miaka ya 2000Sas mkuu mbona kwetu haikuwa hvyo mambo yalienda poa kabisa.....................
[HASHTAG]#BeSerious[/HASHTAG]
[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]