Nasema
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 556
- 345
dawa ni kuwabana hawa dstv,wenze2 kenya mpaka jana wana local chanels tano kweny package za dstv,kwa nin isiwe sisi? Viongozi wetu ni majanga sana
Mkuu dstv walisema wataweka 5 local channels ila utatakiwa kulipia kitu kama elfu 6 per month on top of your package. Sijawafuatilia tangu mwaka uanze but walikuwa kwny process. Ulizia ofisini kwao. So usinunue decoder nyingine.
Ajabu hawajaitangaza hii, nafikiri kwa makusudi tu!