Spot on mkuu, swali ni je hivi vingamuzi vya StarTimes hapa kwetu Tanzania viko Fully compliant with DVB-T2 standard au la? Jibu kam ni hapana, kwa nini Serikali/TCRA haiwalazimishi StarTimes ku-withdraw vig'amuzi hivyo sokoni wakavi-replace na vile vinavyo kubarika kimataifa! Wenzetu Waganda hakulilazia damu suala hili, sisi JE?
Mkuu niliwahi kuonya kuhusu hili, jana nilimjibu Mkuu Meningitis lakini kwa bahati mbaya nilipoteza thread, nataka kuirudia tena hapa kam ifuatavyo:
Mwisho, kitakajo kuja kutokea baadae ni nini?? Ushindani wa kibihashara na malumbano yasiyo na tija - katika hilo kampuni ya StarTimes itapata wakati mgumu labda wabadilike, infact sina uhakika kama vingamzi hivyo viko Fully compliant with DVB-T2 standard, si ajabu ndio vilikataliwa huko Uganda wakaja kuvi-dump hapa TANZANIA wakijuwa wazi wazi hatuwezi kuwafanya chochote au wanaoana Watanzania ni mbumbumbu!!!.
Hii haitakuwa mpya Tanzania kwani tulishalizwa na GTV, tunaomba serikali kupitia regulator watunge sheria ya kulinda watumiaji itakapotokea makampuni hayo yamefilisika.
Mkuu Bukyanagandi,
Sheria zetu haziwalazimishi watoa huduma kutumia DVB-T2 decoders. Infact inawataka watoe DVB-T.
10.-(1) A multiplex operator shall provide services based
on the Digital Video Broadcasting-Terrestrial (DVB-T) family
standard as provided under the First Schedule to the Regulations.
Naambatanisha file lenye sheria inayo regulate matangazo ya digitali.
Nisome vizuri, sijapinga kilicho andikwa hata kidogo, bali nilikkuwa pia najibu kuhusu mmiliki wa gazetiKaka kilichoandikwa ni chenye ukweli. Achana na mmiliki wa gazeti. Ni kweli kabisa kuwa aina ya ving'amuzi tunavyouziwa hapa sisi na StarTimes Waganda walivikataa kwa madai ni old model. Tatizo kwetu lipo TCRA kwani hawataki kusema ukweli.
hi serikali tnatakiwa tuishtaki,
tuna umaskini wa kutisha na yenyewe inatuzidishia umaskini!
Kisa cha kuingia mikataba feki na ku2letea ujinga huu yani makitu yanakwamakwama.cha msingi tuwarudshie mkwanja wetu tjazie tkanunue vyenye ubora.ama tvirudishe watupatie vingine.mi cjaangalia tv tangu trh 31 dec.na mt asnambie habari ya kununua kingine kama wewe unauwezo ni wewe.pale kijijini hata tv mt kauza kipande cha shamba.aendlee kuuza tu.!?wazime hyo mitambo wajipange upya
quality ya Tv nyingi itadhurika maana TV NYINGI HAZIJAjiICONVERT to digital we angalia quality ya CITIZEN TV.hapa kwetu kwa kiasi kikubwa camera nyingi zinazotumika field ni home use vile vidogo vya kupigia harusi..nenda mikoani ndo utaona..lazima pia media zikubali kuoutsource vipind kwa watu wanaoweza kuwapa digital quality espesially HDV FORMATquality ya itv ya analog ilikua poa kwa picha na sauti kuliko hii 'itv' ya startimes.
kutoka analog kwenda digital quality inakua downgraded
tcra wapo wametoa mijicho tuk
hawa tcra hakyanani...................(jf kusingekuwa na ban) ngoja tu.
Nisome vizuri, sijapinga kilicho andikwa hata kidogo, bali nilikkuwa pia najibu kuhusu mmiliki wa gazeti
Kumbe umeshtukia.
Lakini honestly..........hao Star times ni vimeo namabari one kama kile chama nambari one.
Inawezekana ni wrong choice of words kwangu niliposema: "Achana na mmiliki..." ila sikuwa na nia ya kikupinga. I just wanted to shed more light on the issue kuwa ni kweli na kuwa tatizo kwetu lipo TCRA kwani hawataki kusikia habari ya aina ya ving'amuzi vinavyotakiwa.