Kova: Maandamano ya DOWANS kesho marufuku!

Kova: Maandamano ya DOWANS kesho marufuku!

Hao wagaidi wana interest gani kwenye hayo malipo mpaka watishie kuwa watalipoa waandamanaji?
 
Hapa nin uongo mtupu maana jana kwa mujibu wa vyanzo vya karibu vilimnukuu kova kuwa anaomba msaada jinsi ya kuwadanganya wanaharakati na bada ya hapo wkamsahauri azungumzie kuhusu alshabab alipiga kwa ofisa mmoja ypo karibu na nmi ili kuweza kupata maoni cha ajabu naangalia TBC eti anaongelea lile lile aliloomba majibu . HAKIKA NIMEONA VIONGOZI ***** HAPA NCHINI hata mtoto akija na akijamba ikulu halafu akaludi na kuomba ikulu iunde tume ya kuchunguza alshabab kutishia kulipua Ikulu KOVA ataunda kamati

HUU NI UKWELI KOVA JANA KAPIGA SIMU KUJUA na jinsi ya kuondoka ama kweli Iintelijesia ya bongo noma ipo fukoni mwa kiongozi yeyote
 
NAOMBA KOVA ajiuzulu maana hana jipya ahana fact maana sijawahi ona hata alshbab hata mmoja amekamatwa hapa nchini
 
Leo alshabaab,kesho atapata sababu nyigine maandmano haya hayatakiwi.

Nasi tujiulize sababu ipo,je hakuna kitu kingine muhimu kuandamana ni dowans tu.naamini kila siku serikali inalipa malipo haramu mengi tuu.

Tunalialia dowans miaka nenda.tifungue macho tuache kuwa makasuku na dowans
 
leo alshabaab,kesho atapata sababu nyigine maandmano haya hayatakiwi,
nasi tujiulize sababu ipo,je hakuna kitu kingine muhimu kuandamana ni dowans tu.naamini kila siku serikali inalipa malipo haramu mengi tuu.tunalialia dowans miaka nenda.tifungue macho tuache kuwa makasuku na dowans

Sijakuelewa una maana gani? Tuache wizi uendeleeeeee??????????????????? Uzalendo kwa Taifa na Wananchi wenzako uko wapi?????????
 
These are professional fools!Hata kutunga uongo hawawezi...yaani Kenya waliovitani na threat kubwa mikusanyiko ya watu inaendelea,hata mechi kubwa za mpira zinachezwa ije kuwa Tanzania!It does not get dumber than this!
 
kova anatumiwa kisiasa? inakuwaje azuie maandamano kwa madai kuwa kuna tishio la al-shaabab na mwisho wa maongezi yake anasema wananchi wasiwe na wasiwasi na mechi ya simba na yanga kesho hiyohiyo kwa ni wameandaa ulinzi wa kutosha. kwa nini huo ulinzi tusipewe waandamanaji??????????? hii ni siasa
 
taarifa za uhakika jakaya kikwete ndo kapiga marufuku maandamano hayo kwa kuwaambia wakuuwa polisi nchini kukomesha maandamano yoyote ndani ya tanzania.....sababu kubwa ni kwamba huenda maanadamano hayo yakaibuia migomo na kutaka rais aondoke madarakani....hao kina kova wametfuka sababu ya alshabaab kama sababu ya kuzuia maandamano hayo...
 
Mbona jeshi la Polisi lenyewe ndilo Al Shabaab???Mara ngapi wamepiga watu mabomu na risasi za moto na hata kusababisha vifo vya raia wasio na hatia??Vitendo hivyo sio vya kiAl shabaab??? Kova watanzania tushakuwa sugu na mashambulio ya aina ya kialshabaab mnayotufanyia ninyi polisi/ffu. Ungekuwa makini mngezuia mashambulio mnayoelekeza kwa raia yanayotumia nguvu za ziada, kwa sasa kutoa kauli uliyoitoa ni kutaka kumfurahisha Rais na Mafisadi wa Dowans au nawe unashare ktk Dowans???

Kwa kweli haiingii akilini kwanini wewe mwenzetu huna uchungu na ufisadi wa aina. Hata mkashindwa kuchukua hatua tangu mwanzo wa sakata hili. Kama mnashindwa kubaini matatizo kama haya ya ufisadi, kweli mnauwezo wa kuchunguza mashambulio ya Al Shabaab??Nyie fanyeni kazi mzeeke, mstaafu tu mana hatuoni mnachokifanya zaid ya kututia hasara za kuwahudumia bila kuwajibika.
 
Tanzania tuna viongozi wa ajabu...!!!

Kova kapiga marufuku maandamano ya kupinga Dowans kulipwa 111bns.....

Eti kwa ajili ya tishio la Al Shabab...

Source Radio Wapo FM.....

Najisikia kuanza kulia.....

Intelejensia ya bongo huwa kali pale kunapokuwa na maandamano yanayoibana serikali,ingekuwa maandamano ya kmpongeza JK kwa kupata PHD ya 4 naamini kova angesema ulinzi utakuwa wa uhakika,na wangemwagwa askari kibao kusindikiza maandamano,sure al-shabaab wasingekuwa threat,so sad
 
Mbona jeshi la Polisi lenyewe ndilo Al Shabaab???Mara ngapi wamepiga watu mabomu na risasi za moto na hata kusababisha vifo vya raia wasio na hatia??Vitendo hivyo sio vya kiAl shabaab??? Kova watanzania tushakuwa sugu na mashambulio ya aina ya kialshabaab mnayotufanyia ninyi polisi/ffu. Ungekuwa makini mngezuia mashambulio mnayoelekeza kwa raia yanayotumia nguvu za ziada, kwa sasa kutoa kauli uliyoitoa ni kutaka kumfurahisha Rais na Mafisadi wa Dowans au nawe unashare ktk Dowans???

Kwa kweli haiingii akilini kwanini wewe mwenzetu huna uchungu na ufisadi wa aina. Hata mkashindwa kuchukua hatua tangu mwanzo wa sakata hili. Kama mnashindwa kubaini matatizo kama haya ya ufisadi, kweli mnauwezo wa kuchunguza mashambulio ya Al Shabaab??Nyie fanyeni kazi mzeeke, mstaafu tu mana hatuoni mnachokifanya zaid ya kututia hasara za kuwahudumia bila kuwajibika.
 
Haya maandamano ni ya CDM kutaka kutuvurugia amani yetu ya Tz na si lingile lolote !
Magamba mna wasiwasi gani kwa maandamano haya wakati mnaungwa mkono na watanzania 62%? Mbona mnajishuku kula uchao? Hiyo vurugu ataileta nani?
Bado mna maumivu ya kuzomewa kwa JK chuo kikuu?
 
Kova ameshindwa kufanya intellejensia ya Kagoda, Meremeta, Tangold na maufisadi mengine mengi ya kutisha, ataweza kufanya intellejensia dhidi ya Al shabaabi??kama anaweza kufanya intellegensia dhidi ya Al Shabaabi anashindwaje kufanya Intellegensia dhidi ya ufisadi nchini hata kuwaacha mafisadi wametamalaki??au anataka kusema kudeal na mafisadi sio kazi yake???

Kwa nchi makini kwa kauli yake hiyo alipaswa kujiuzuru kwa kukataa kuwajibika kwa maksudi kwa kuonesha kuwa jeshi lake halina uwezo wa kulinda Raia wakati wakitekeleza haki yao ya kikatiba. Au tumgeuzie kibao yeye naye ajiuzuru kwa kuonesha kushindwa kuwajibika???
 
Huyu KOVA ana elimu gani? Hata analysis hafanyi; uwanja wa Taifa mechi simba na yanga watu ni wengi na wamejikusanya pamoja tena rahisi kulipuliwa, pia al-shabab watatia hasara ya uwanja, sasa mbona tiketi wanauza?? tena ametamba atatoa ulinzi wa kufa mtu!! MA KWELI TANZANIA NI KISIWA CHA MAAJABU DUNIANI
 
[h=2]90 % ya viongozi wetu wenaugua magonjwa sugu , wanashindwa kufanya maamuzi[/h]
Mapema mwaka huu viongozi wetu wa juu wakiwemo wabunge,mawaziri, majaji , wakuu wa mikoa, watendaji wakuu wa serikali walimiminika loliondo wakitaka kutibiwa magonjwa sugu ukiwemo ukimwi.mch ambilikile mwasapila (babu) aliwalaghai vigogo wa serikali na serikali yote kuamua kuelekea huko.
Magonjwa sugu yaliyotajwa ni:
1.ukimwi
2.kisukali
3.pressure
4.
5.
Taarifa za daktari zinaonyesha kuwa watu wenye magonjwa sugu huwa wanhasira kali na kushinda kufanya maamuzi magumu na kukosa mipango endelevu. Wanauza mali hovyo na kutapanya rasilimali

pamoja na kwamba dawa ya babu haitibu ukimwi lakini amefanikiwa kutupatia takwimu za ukweli kuhusu mtandao wa magonjwa sugu kwa viongozi wetu ambapo wametumia ndege kwenda loliondo na magari ya serikali.
Ni dhahili kuwa viongozi wetu wanao tuongoza ni wagonjwa wa magonjwa sugu kiasi cha kushindwa kufanya maamuzi mazito na mipango ya maendeleo y mda mrefu.

Viongozi wetu wanahofu ya kufa kutokana na magonjwa yao na ndio maana wanauza madini, wanauza ardhi, wanauza wanyama hai mapema ili kukusanya pesa mapema.
Wengi tunajua mtu akiwa na hofu ya kufa kutokana na ukimwi huwa anauza mali hovyo hovyo na maamuzi yake siyo mazuri.

Mfano mzuri ni maamuzi ya kulipa dowans , jambo ambalo ni dhahili kwamba wanaofanya hivyo hawana mipango mirefu ya maisha katika taifa hili.
Viongozi wa ccm wanakata kuachia madaraka kwa watu wengine wakihofia hatima yao baada ya kuuza nchi na wanyama nje ya nchi. Wametapanya mali hovyo kwasababu hawana mawazo mazuri, wanang'ang'ia madaraka na kutaka watoto wao walithishwe urais , ubunge, na uwaziri ili kulinda uhalifu waliofanya.wanahaha kuiba kura ili waonekane wanapendwa na wananchi.


Mgogoro uliotokea libya ni sawa na mgogoro utao tokea tanzania 2015.
Huko libya gadafi alitaka kuachia madaraka mikononi mwa watoto wake ambao nao wamejilimbikizia mali lakini raia wema wakamuonya lakini hakusikia.


Hapa tanzania kuna juhudi kubwa za watawala wetu kutaka kurithisha madaraka kwa watoto wao ambao wamejirimbikizia mali katika vituo vya mafuta, migodi , maliasili, wameuza ardhi na sasa wanahaha kuiba kura.!!!!

Kuna harakati kubwa kwa watu ambao wametuhujumu , wametuibia , wametunyonya na sasa haohao ndio wameunda mitandao ya urais 2015. Wanatumia fedha walizotuibia kutuhonga ili tuwape kura. Wanatumia pesa hizo kuwahonga wachungaji, wamewanunua wachungaji na kufanya kampeni makanisani.


Watu hawa wakiugua tu utasikia walalahoi wanalalamika na kupiga kelele kuwa wamepewa sumu lakini safari ya loliondo walikwenda bila mtu kulalamika.wanasafiri kwenda india kutibiwa baada ya loliondi kupoteza umarufu lakini wanapo ondoka hawasemi wanaumwa nini !!!!!! Mauaji ya albino yanaongezeka ushirikina huku serikali ikiongeza kasi ya kutoa vibali kwa waganga .waliopo kwenda loliondo hawakusema wanaumwa nini!!! Lakini safari ya india ina maneno mengi


ni bora mbunge ,waziri, vigogo wanapougua waangalie ukweli wa afya yake sio kusingizia sumu .

Pia hapa kuna ubaguzi mpiga kura akiugua anafia nyumbani bila kufika hata dispensary, na hata akienda huko anakosa dawa.

Wajawazito wametengewa bajaji ambazo bado zinasuasua.

Waziri akiugua anakimbizwa haraka kwenda india na anagharimiwa fedha nyingi inayo weza kutibua zaidi ya walalahoi 100 hapa!!!

Wakati wa kupiga kura wabunge wanapiga magoti kuomba kura, wakimunyima anachakachua!!! Je, ni haki????​
 
Nilitegemea sana kitu hiki kutokea intelligencia ya nchi imefanya kazi ya kuiokoa serikali kwa mara nyingine tena tunadhurumiwa haki ya kikatiba kwa ktumia vyombo vya dola na taarifa za kughushi
 
maandamano yapo tamko la kova ni batili kwani kama ndo hilo basi hata match simba na yanga na yenyewe ipigwe marufuku!wanatapata tu hawa magamba wakiongozwa na kova-polisim mnajijengea maadui ndani ya nchi yenu!nchi ilipofikia si ya kupeleka kama mnavyojua!
 
Kwa kweli Bw. Kova unachekesha sana. Unachukulia wa Tanzania ni wajinga kiasi hicho! Usingelisema kabisa sababu hiyo! Ungeishia hata kusema "sababu za kiintelijensia!". Al-shababu? How? Is Al-shababu=DOWANS=RA=Richmond?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Haya maandamano ni ya CDM kutaka kutuvurugia amani yetu ya Tz na si lingile lolote !

Amani yenu na nani.....!!! Kulipa Dowans ndio amani yenu....!!!! Ulaanike .... wewe na aliyekutuma..... na hizo pesa mkiwapelekea hao Al Shabab ndo watawaletea amani....!!! Kweli ujinga gharama....!!!
 
Cha kushangaza hapa siyo Kova, ni hao walioitisha maandamano. Kova kapiga mkwara, Wanasheria wamefwata mkia!! Kama wangekuwa serious wangefanya Kichadema kule A-town!!
 
Back
Top Bottom