Recent content by mukeshamban

  1. mukeshamban

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina Mkosi na Wake za Watu

    kumbe unatumia madawa..basi sina neno zaidi ndyo maana unapenda wake za watu ila ambao hawajaolewa wanakukataa ila usije kojoa dagaa :(:(:(
  2. mukeshamban

    JamiiForums Tanzania Uhitaji mkubwa wa walimu kwa mwezi wa 6 na 7 2016

    kweli mkuu wakija walimu 120 na kila moja akatoa hyo elf 20 alafu ikaonekana wamefeli wote mbona hawajamaa wanatengeneza pesa ndefu sana 120×20,000
  3. mukeshamban

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kusubiri ajira za walimu

  4. mukeshamban

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kusubiri ajira za walimu

    kweli kabisa mkuu inabidi tuangalie upande wa pili wa kujiongeza ktk maisha
  5. mukeshamban

    JamiiForums Tanzania Lulu arudi chuo, anachukua telecommunication engineering

    wakusoma hata lulu :D:D:D
  6. mukeshamban

    JamiiForums Tanzania Nuh Mziwanda ajichora tatooo ya mpenzi wake mpya, adai huyu wa sasa amekuja kwa gia kubwa

    huyo dogo anatuaibisha wanyalukulo wenzake atachoraje tatooo ya kila demu anayekua naye..
  7. mukeshamban

    JamiiForums Tanzania Kuna 'vigari' mwanaume hutakiwi kuendesha by the way

    tunaanza na hizo unasema then baadae ndyo tunanunua nissan morano n.k
  8. mukeshamban

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Peoples Bank Of Zanzibar (PBZ)

    duuh ajira tight kila mtu APO anasubili kama atadaka kibarua
  9. mukeshamban

    JamiiForums Tanzania Mtaani jamani pagumu!

    point mkuu
  10. mukeshamban

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kichagga na Kihaya mtatumaliza

    ni tabia tu za mtu mbona hata makabila wengine hzo tabia wanazo. tuache imani kwamba ukioa mwabamke mchaga kama ukiwa tajiri basi ata kufanya ndondocha..
  11. mukeshamban

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Viwanja Njia panda ya salasala ukitokea wazo Hill? Umepata!

    duuh hata vyumba 3 haviwezi toka hapo..
  12. mukeshamban

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya baa za kibongo

    mbinguni bar & guest house-ipo njombe
  13. mukeshamban

    JamiiForums Tanzania Bei ya ufuta mwaka huu ni majanga

    biashara ndiyo inavyokua mkuu usitegemee kila mwaka utauza kilo 2000 au 2500.
  14. mukeshamban

    JamiiForums Tanzania Pilipili

    safi sana kijana one day utakula matunda yako nakuona miaka 5 ijayo uwe kama bilionea mukesh amban
  15. mukeshamban

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siri za ndani: Nimemkuta wife anachat na mwanaume kimahaba

    pole mkuu
Back
Top Bottom