Polisi jamii
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 2,604
- 1,385
UNAWEZA KAZI YA ULINZI NIKUUNGANISHE?
Aha haha haha, nyinyi wasomi mnachekesha, beba zege Wewe wacha kulialia, sisi wa std7 hatuna makuu kila kazi twende na mambo yanaenda
Huo ndio ukweli aisee,hata wale wa "unanijua mimi ni nani" sasa hivi chalii!!
Uuze mwili? Wewe ni mwanamke au?Haki ya Mungu kusema ukweli ni mpenzi wa Mungu, mtaani kugumu mbaya. Yani kama upo kazini usijaribu kuchezea kazi, ni kugumu sanaa!
Waajiri wamefunga milango, ilhali vigezo tunavyo ila ndo hivyo jamani mtaani mpaka mtu unatamani uuze mwili.
hahaa!Uuze mwili? Wewe ni mwanamke au?
ni mwanaume lakini huyu,sasa hapo sielewi elewiKuwa makini usijiuze mdogo wangu, siku hizi wanaume ni wabaya sana kwani wanataka tigo tu!
Mkuu naombako namimi kazi yoyote coz unaonekana una moyo wa huruma na upendo.Tatizo unataka kazi kubwa ndugu. Mtaani siyo pagumu kiasi hicho kwa mtu usie chagua kazi. Tatizo eti kwa kuwa mtu umesoma accounts unataka kazi lazima uwe accountant shirika fulani kubwa au serikalini.
Hii hata mimi ilinisumbua sana nilipomaliza shule. Ila kwa hali iliyopo sasa ivi pambana sana upate kazi yeyote ile atleast upate kamtaji ka kuanzia tuu au huku unafanya hako ka kazi unatafuta work of your dream. Kwani siyo kila mtu amezaliwa mjasiriamali others were born to be employed.
Kuna kijana mmoja ana degree yake ya accounts alisota sana mtaani kwangu nikawa namwambia babaake amwambie nimpe kazi awe storekeeper kijana akawa anagoma. Alisota mwaka na nusu ila mwezi wa pili alikuja mwenyewe kubembeleza ile kazi na sasa ivi yupo vizuri tuu with peace of mind. Huwezi amini tunampa ka mshahara ka kawaida ila anajutia sana muda aliopoteza mtaani.
So usikate tamaa ndugu yangu