Pilipili

belu

Member
Apr 24, 2015
53
9
Habari za mchana wapendwa.

Karibuni Pilipili yenye ladha nzuri inayoongeza hamasa ya kula chakula...nimeipika katika mazingira safi na kuipack katika vifungashio salama kwa afya ya mlaji...ipo ya 1000 na 3000 na nikikuletea wanichangia 1000 ya usafiri

Napatikana ubungo Msewe

0718632033
KARIBUNI SANA

1465550014150.jpg
 
sasa nini maana yake, unauza ? kama ndio unapatikana wapi na ni pilipili za mkoa gani hizo ?
 
sasa nini maana yake, unauza ? kama ndio unapatikana wapi na ni pilipili za mkoa gani hizo ?
Sorry tangazo lilikuja kabla cjakamilisha..napatikana ubungo msewe..pilipili ninaipika na kuiandaa mimi mwenyewe
 
Kamilisha tangazo lako. ..

Mfano : Zinapatikana wapi?
Samahan tangazo lilikuja kabla cjakamilisha..napatikana ubungo Msewe.. Ni Pilipili nliyoiandaa mm mwenywe na kuipack vzr kwa afya ya mlaji
 
Karibuni Pilipili iliyopikwa vzr ktk mazingira safi na kua packed ktk vifungashio salama kwa afya ya mlaji...ipo ya 1000 na 3000 pia nkikuletea wanchangia 1000 ya nauli...napatikana ubungo msewe
0718632033
Karibuni sana na asante

safi sana kijana one day utakula matunda yako nakuona miaka 5 ijayo uwe kama bilionea mukesh amban
 
Habari za mchana wapendwa.
Karibuni Pilipili yenye radha nzuri inayoongeza hamasa ya kula chakula...nimeipika katika mazingira safi na kuipack katika vifungashio salama kwa afya ya mlaji...ipo ya 1000 na 3000 na nikikuletea wanichangia 1000 ya usafiri
Napatikana ubungo Msewe
0718632033
KARIBUNI SANA
1465551555701.jpg
 
Habari za mchana wapendwa.
Karibuni Pilipili yenye radha nzuri inayoongeza hamasa ya kula chakula...nimeipika katika mazingira safi na kuipack katika vifungashio salama kwa afya ya mlaji...ipo ya 1000 na 3000 na nikikuletea wanichangia 1000 ya usafiri
Napatikana ubungo Msewe
0718632033
KARIBUNI SANAView attachment 355333
Hongera sana, napenda watu wanaobhutu kama wewe, jitahidi upate idhini ya Satisfying Authority a.k.a TBS, Itakaa vizuri hiyo.
 
Pili pili zako nzuri sana hongera sana, nimezikuta sehemu na kutumia, nashawishika kusema nitakuja kutafuta stocj ya kutosha
 
Back
Top Bottom