Unahitaji Viwanja Njia panda ya salasala ukitokea wazo Hill? Umepata!

Luton

New Member
Jun 9, 2016
3
0
Ninauza Viwanja vyangu vipo Mivumono Wazo Hill
Vipo karibu na njia panda ukiwa unatokea Wazo Hill

Ni viwanja vizuri, tambalale, huduma zote za kijamii zipo
Ukubwa: 20" x 20"
Bei: 9M (Maongezi yapo)

TUWASILIANE KWA: 0753 366 776 AU 0714 453969
 
Unajua hicho kipimo ulichoweka kina maana gani? yaani inchi 20 kwa inch 20 ni milioni 9?
 
Je iko kiwanja una hati yake? Na kimepimwa? Je sio cha urithi? Ntajuaje kam chako ?
 
Je iko kiwanja una hati yake? Na kimepimwa? Je sio cha urithi? Ntajuaje kam chako ?
Kibwenzi asante kwa maswali yako

Kwanza hivi ni viwanja, ni zaidi ya kimoja na bado havijapimwa hivyo siwezi kusema kwamba nina hati zake.
Siyo viwanja vya urithi bali nilinunua kihalali kabisa na nina vielelezo vyote vilivyoambatanishwa kuthibitisha kwamba viwanja ni vyangu.
Ninaposema maelewano yapo, namaanisha kwamba viwanja ni vyangu na bei ya kuuza ipo ndani ya uwezo wangu

Tuwasiliane kwa maelezo zaidi. Karibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom