Unaweza kuingia humo, mimi nimo humo kwa kama wiki tatu sasa. Ila nikupe angalizo kidogo. Ni kuwa utahitaji uwe na kama 8 milioni ili uiweke Bajaj yako barabarani yaani bei ya kununulia zina range kutoka 7,350,000/= hadi 7,500,000/=. Mimi niliipata kwa 7,400,000/=. Ongeza hapo Bima Kubwa...
Sitaki kuingia kwenye majina ya AWAMU, ila kwa hesabu ya kawaida tu ni kuwa hii ni Serikali ya AWAMU YA TANO, kwa maana kuwa CCM tumekuwa na utaratibu wa kuwapa Marais wetu, kuanzia Awamu ya Mzee Mwinyi, hadi leo, miaka kmi ambayo ni sawa na AWAMU MOJA. Hii ya Rais Samia Suluhu Hassani ni...
Well nisingependa kuingia kwenye malumbano ya kisheria ambako siko kwangu, ila uzoefu unaonesha kuwa SIYO LAZIMA every incoming new president aanze au ateue baraza la mawaziri lake. It is rightly assumed kuwa kwenye uteuzi wa haya mabaraza ya mawaziri, Rais mara nyingi, kama sio zote, huwa...
Huu nao pia ni ushauri kwa kiongozi wetu mpya, Rais Samia Suluhu Hassan, basi tusubiri kwani yote, kuvunja na kuunda Baraza jipya la Mawaziri au kuendelea na hili au kulifanyia marekebisho kidogo kadri apendavyo, YOTE YAKO NDANI YA UWEZO WAKE au siyo! Tusubiri tuone.
Nimeyasoma mawazo yako NAYAHESHIMU ila kwa kweli ni vizuri tusubiri tuone yajayo bila kuwa na jaziba au chuki za wazi wazi kwa yoyote. Huu ni ushauri tu, halafu, nilikuwa napita tu!
Kwa urahisi wa kupata jibu la swali hilo, aidha ngoja wana zengwe wa JF waje au kwa urahisi pita pita BOT wakupe jibu au majibu YA UHAKIKA juu ya issue hii. Hata hivyo, nijuavyo mimi ni kuwa Bureau de change hazikuondolewa bali yaliwekwa masharti mapya ya kufanya biashara hiyo. Check na BOT on this.
Kama waliyokuwa wakisema ni haki, mimi sioni tatizo la wao kuendelea kusimamia misimamo yao hiyo, kama wewe unavyo simamia misimamo ya Tobo, utadhani ulikunywa maji aliyokupa Tobo, hivyo uko tayari kusema na kunena lolote lile, iwe kweli iwe uongo, iwe shombo au iwe chochote. Pole sana Mhabeshi!
Hili ni POVU la asiye kuwa na HOJA na ni mfano mzuri wa kukosa kitu cha kuzungumzia cha zidha kuujenga upande wako au kuubomoa upande mwingine, kinacho someka na maneno ya MFA MAJI, akijaribu kurudi ufukweni ambako pia hapajui, basi, anabaki kutapatapa tu ili mradi naye aonekane kasema kituhumu...
This is self-defeatism! Unasema "ni lazima" yawepo makosa aidha ya kiuandishi au ya kimatamshi? Huu ni upotoshaji wa lugha aidha yako ya asili au ya kigeni! Ukishindwa kuandika kwa ufasaha kwa lugha yoyote ile, maana yake ni kwamba HUIJUI LUGHA HIYO, la kufanya ni kwenda kuijifunza hiyo lugha...
Yaah I too hate Makapuku kama Tobo wanaojipendekeza kwa mabeberu1 Toboanafanya hivyo ili apate kamkate kake ka kila siku huko Ubelgiji, vinginevyo ataishia KUD#### mitaani kwani huko there is no FREE KUNCH. You have to "pay for everything".
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.