Bureau de change zimerudi?

Mpemba Mimi

JF-Expert Member
Jul 6, 2013
726
1,000
Nimeona bureau de change moja inaitwa Kadco. Je hawa wameufata vigezo gani hadi kuruhusiwa?
Mkuu - Bureau de change ziko wazi siku nyingi tu. Ni zile zinazofuata masharti ya BOT. Ziko hapo Mlimani City, Sinza karibu na Vunja Bei, Hata Posta - Samora Avenue pale NHC House. Zilizofungwa ni zile zilizoshindwa kufuata taratibu za BOT. Hizo ziko siku nyingi tu, wala hazijaanza leo. Siku nyingine uwe unatuuliza sisi tunaozitumia hizo USD na Sterling Pounds pamoja na Euro.
 
Janja weed

JF-Expert Member
Nov 20, 2020
746
1,000
Bureau de change zipo hii sio habari mpya baada ya kufungwa na kutakiwa kuwa na vibali na kufuata masharti ya BOT , zilifunguliwa ila sio utitiri kama zamani Mlimani City zipo mbili kule ndani na ziko active muda wote, pale namanga ukiwa unatokea Oysterbay polisi kama unakaribia mataa ukiwa unaenda mjini kushoto pale ipo, posta jengo la vioo ukitokea extelecom zipo za kumwaga , hata sinza pale kigorofa cha vunja bei ipo kwahiyo sio ishu suala lilikua utaratibu tu, hapa ukitaka kuanzisha uzi kana kwamba zimeanza baada ya mtakatifu yohani wa chattle kufwa unakua hujatenda haki .
 
witnessj

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
23,772
2,000

Posta pale samora mbona hamna kitu pale, niliingia mpaka mle ndani nyuma ya S.H .Amon holaa, ikabidi niende bank ya posta opposite na benjamin tower
 
witnessj

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
23,772
2,000
Bureau de change zipo hii sio habari mpya baada ya kufungwa na kutakiwa kuwa na vibali na kufuata masharti ya BOT , zilifunguliwa ila sio utitiri kama zamani Mlimani City zipo mbili kule ndani na ziko active muda wote, pale namanga ukiwa unatokea Oysterbay polisi kama unakaribia mataa ukiwa unaenda mjini kushoto pale ipo, posta jengo la vioo ukitokea extelecom zipo za kumwaga , hata sinza pale kigorofa cha vunja bei ipo kwahiyo sio ishu suala lilikua utaratibu tu, hapa ukitaka kuanzisha uzi kana kwamba zimeanza baada ya mtakatifu yohani wa chattle kufwa unakua hujatenda haki .
Vunjabei pale sinza madukani?
 
mukaruka mzee

JF-Expert Member
Jan 22, 2020
970
500
Nimeona bureau de change moja inaitwa Kadco. Je hawa wameufata vigezo gani hadi kuruhusiwa?
Kwa urahisi wa kupata jibu la swali hilo, aidha ngoja wana zengwe wa JF waje au kwa urahisi pita pita BOT wakupe jibu au majibu YA UHAKIKA juu ya issue hii. Hata hivyo, nijuavyo mimi ni kuwa Bureau de change hazikuondolewa bali yaliwekwa masharti mapya ya kufanya biashara hiyo. Check na BOT on this.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom