All races were created were belong to, we were never all black Africans

Common errors on wirtten /spoken language pronunciations'!!! (lazima!! nasema lazima!!) ziwepo Kwa Lugha iwayo yeyote ile Duniani na kwa mtu yeyote yule!! mahali popote! Duniani hata kwa wazawa kindaki ndaki!! Waingereza na wagiriki woote wenye Lugha yao!! ni Maarufu km ''Common Mistake subjects''

Hili lilikuwa ni somo maalum lenye mtaala uliokubalika kabisa ufundishwe mashuleni! na Wizara yet Mama, wengine siyo makosa yenu, Ni either hamkusoma kabisa au hamkufundishwa au mlizembea au shule za st, kayumba UPE walikuwa weengi!! au yoote hayo yana wahusu!!

Hata waswahili humu JF, kwa Lugha yenu Mama!!, nina ona wana makosa mengi sana kiuandishi!! hata mimi huwa nakosea sana tu lkn nagundua baadaye sana, ila kwa sababu nilisoma ''common Mistake subjects'' nikaelewa, hili somo hainipi shida kwa hadhira,

Nikigundua pale hivi! pale vile! lkn sasa imesha toka siwezi irudisha! hii ni inakuwa zaidi kwa wale wepesi wa ku type! kidaktari watu wenye akili km hizi nyepesi wanaitwa kitaamu ''Precarioscient'' mawazo yao huenda kwa kasi sana. hilo ni somo jingine!! kwa siku nyengine!!

Kama hii imekupa shida kuielewa basi u miongoni mwao hao!! una jina lako kitaalamu waandishi wa habari wanajua.... so wewe umeathiliwa na mchangia mada wa kwanza kabisa kumsoma!! amekuambukiza kisaikolojia zaidi!!
This is self-defeatism! Unasema "ni lazima" yawepo makosa aidha ya kiuandishi au ya kimatamshi? Huu ni upotoshaji wa lugha aidha yako ya asili au ya kigeni! Ukishindwa kuandika kwa ufasaha kwa lugha yoyote ile, maana yake ni kwamba HUIJUI LUGHA HIYO, la kufanya ni kwenda kuijifunza hiyo lugha kisha uandike ili watu waelewe unawasilisha nini. Ukianza kuandika UPUUZI na tusipoelewa, hatutakusamehe eti kwa sababu "hakuna asiyekosea". Hapana, andikeni tuwaelewe, hata kama ni in YOUR MOTHER'S TOUNGUE. Wewe andika tu. Wanaoielewa wataelewa na kuitafsiri, kama ni lazima sana na kama ni muhimu.
 
This is self-defeatism! Unasema "ni lazima" yawepo makosa aidha ya kiuandishi au ya kimatamshi? Huu ni upotoshaji wa lugha aidha yako ya asili au ya kigeni! Ukishindwa kuandika kwa ufasaha kwa lugha yoyote ile, maana yake ni kwamba HUIJUI LUGHA HIYO, la kufanya ni kwenda kuijifunza hiyo lugha kisha uandike ili watu waelewe unawasilisha nini. Ukianza kuandika UPUUZI na tusipoelewa, hatutakusamehe eti kwa sababu "hakuna asiyekosea". Hapana, andikeni tuwaelewe, hata kama ni in YOUR MOTHER'S TOUNGUE. Wewe andika tu. Wanaoielewa wataelewa na kuitafsiri, kama ni lazima sana na kama ni muhimu.
Uko sahihi kabisa hivi unavosema kabisaa!! wala sikupingi!! ila!! wewe ni Mgonjwa!!! unahitaji msaada! ugonjwa wako ni perfectionism so unahitaji msaada wa Daktari Mwanasaikolojia!! au inawezekana pia neno ''common Mistake'' ni msamiati kwako!

Kwa mfano wewe umechanganya herufi kubwa na ndogo, ndo ulivo fundishwa huko Majita Makojo? hkn walimu huko Makojo? wapo si ndiyo? tena hii mistake umeifanya kwa kurudia rudia , ina maana ndo ulivyo elewa drsani hatukulaumu huo siyo uandishi mzuri!

Inaonyesha pamoja na kusoma zamani Mwalimu wa somo la Mwandiko hukumuelewa, lkn hapa nimeelewa mie tu?? na nimekufundisha kirahisi,najua hutarudia tena! sometimes unaweza usielewe ukarudia makosa,

Hili si kosa la kupitiwa ni kosa la kutokuelewa!! Ukitaka ufafanuliwe kila jambo utachukua mda mrefu sana ku graduate!! Mwalimu anakufundisha asilimia 25 tu!! zilizo baki tafuta mwenyewe , siyo anakukomoa! ni ili kukuza udadisi wa mwanafunzi!! siyo urudi drsani!

Ila elewa kuna watu wenye akili nzito kama Grease, wako drsn, humu wamo popote pale wapo hao mpaka wende polepoleeee! hapa hawakuelewi! watakwama tu. pia siyo uelewe kila kitu!

Lugha lazima inazaliwa inakua ina kufa vilevile, pia ipotoke inapobidi, Misamiati mingine inakuja kwa sababu ya kupotoka mfano neno kama

Ng'atuka,

Amekataa katakata kunisaidia, sababu amelewa.

Maji mafu yametanda Mto Wame Magari hayapiti! Au kwa kiswahili sanifu huniwezi mie Maji Mafu!!nk
 
Back
Top Bottom