Ushauri: Nina milioni 6 lakini sijui nifanye biashara gani

Mr Suprize

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
686
1,000
Fanya Biashara ya kununua na kuuza nguo za ndani za, na hasa zile za bei za kawaida za kike na kiume wakubwa na watoto kutoka Dar kariakoo.
Biashara hii Ina faida ya kuanzia 50% hadi 100% na kuendelea.
Dukani kwetu Tunauza bidhaa hizo kwa Jumla Kwa kuanzia Nusu Dozen.
Na tuna saidia kutuma mzigo wako Popote tanzania.
Wasiliana nasi kwa ushauri zaidi kwa whatsapp/simu #0743207176 View attachment 1736445
Tuambie Bei kwa dozen
 
mukaruka mzee

JF-Expert Member
Jan 22, 2020
970
500
Wewe mtu wa2 unasema hv una idea na hii busn? Malipo yakoje n
Wewe mtu wa2 unasema hv una idea na hii busn? Malipo yakoje nk
Unaweza kuingia humo, mimi nimo humo kwa kama wiki tatu sasa. Ila nikupe angalizo kidogo. Ni kuwa utahitaji uwe na kama 8 milioni ili uiweke Bajaj yako barabarani yaani bei ya kununulia zina range kutoka 7,350,000/= hadi 7,500,000/=. Mimi niliipata kwa 7,400,000/=. Ongeza hapo Bima Kubwa (Sh.576,000/=), ongeza LATRA (22,000/=), ongeza TRA MAPATO (Sh.100,000/=) kwa mwaka wa fedha na gharama nyinine kama kujengea turubai, ngao n.k. 8mi/= na zaidi kidogo.

Baada ya hapo sasa una njia mbili za kuiendesha hiyo Bajaj yako kibiashara. Aidha umpe dereva KWA MKATABA, huyu akuletee Sh.20,000/=kwa wiki kwa miezi 24 au 26, kadri mtakavyokubaliana. Baada ya huo muda, Bajaj inakuwa ya dereva. AU umpe dereva bila mkataba kama huo hapo juu, yeye akuletee kila siku kati ya Sh.10,000/= na Sh.12,000/= kwa muda wote wa uhai wa Bajaj yako. Kuna some details nimeziacha kwa sababu ya muda kama vile kuhusu matengenezo na bima baada ya mwaka wa kwanza n.k. Twende sasa kwenye maswali ukizingatia uzoefu wangu wa wiki kama mbili hivi za barabarani.
 
Champagnee

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
5,535
2,000

Hakuna faida mkuu kama kwa siku bajaj 10-12k bora nibet tu.
 
Griseofulvin

JF-Expert Member
Sep 15, 2016
994

Biashara nyingine ni biashara kichaa yaani unaweka Mil 8 alafu upate elfu 12 kwa siku?

Afadhali kidogo ukomae mwenyewe barabarani ila sio kumpa mtu akuletee elfu 12
 
MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
May 30, 2015
273
500
Biashara ya Mchele na tikiti zitakusumbua kwa sasa.

Bajaj fine dereva uwe mwenyewe bt how comes unaweka 8M thn usubiri 25k per day ni kuzika ela tu itakuchukua miaka 2 na zaidi kuirudsha 8M.

Weka ela kwenye biashara ya kuuza solar vijijini kwa pesa iyo mtaji tosha
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
32,858

Niliwahi sema..unanunua bajaj kipande kwa siku 15 _20 ..sijui ni akili ya wapi hii!
 
Zohaan

Member
Jul 18, 2018
54
125
Weka hela bank, rudi kitaa jichanganye kwenye kaz ndogo ndogo kama kusafisha mitaro,kubeba zege baada ya mwez utajua biashara nzur sana ya kufanya.

Njia ya pili, kuwa Karbu na watu ambao hawana kitu,hao huwa wana plan nying za biashara.
ila iyo kusafisha mitaro na kubeba zege co poa
 
dingihimsel

JF-Expert Member
Jan 9, 2016
9,101
2,000
Biashara ya Mchele na tikiti zitakusumbua kwa sasa.

Bajaj fine dereva uwe mwenyewe bt how comes unaweka 8M thn usubiri 25k per day ni kuzika ela tu itakuchukua miaka 2 na zaidi kuirudsha 8M.

Weka ela kwenye biashara ya kuuza solar vijijini kwa pesa iyo mtaji tosha
Kamanda bajaji wapi? M8

Nimetoka juzi tu kuulizia bajaji inaenda 7.5million na Bima mpaka 7.3million unachukua bila Bima
 
MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
May 30, 2015
273
500
Kamanda bajaji wapi? M8

Nimetoka juzi tu kuulizia bajaji inaenda 7.5million na Bima mpaka 7.3million unachukua bila Bima
7.3 weka Mapato,Tarula,Bima,Mtaji wa kuanzia ,Ninamiliki mwaka wa 4 sasa.

Bajaj kwa mtu mwenye kasi na return ya haraka haimfai ataiuza kabla ya malengo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom