Utawala wa Hayati Dkt. Magufuli ulijaa kiburi, majigambo na uonevu, ufitinishi na visasi

hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
42,740
2,000
Malipo ni hapa hapa Duniani

Ukitizama kwa kina nikipindi kifupi Sana kimepita Cha hiyo miaka 5 wale waliokuwa wanajiona kuwa wana power kubwa kuliko wenzao power hiyo Tayari imesha waponyoka na hawana uhakika mzuri na hatima njema ya kesho Yao

Jamani tujifunze kuishi na Watu vizuri
 

mukaruka mzee

JF-Expert Member
Jan 22, 2020
970
500
Huo ndio mtazamo wangu ukiniuliza juu ya utawala wa HayatiMagufuli.

Kaburi kilikuwa kikubwa aliogopewa na kila kiumbe Cha Tanzania alizungumzwa sirini watu waliogopa hata kuta za nyumba zao wakihisi magufuli atakuwa anawasikia.

Ufitinishi wa kina Cyprian Musiba ulifikia kiwango cha kutisha, Musiba aliweza kumfitini yeyote na wakati wowote bila woga akijua kwamba genge lao ndio lenye sheria na bosi wao ndio sheria yenyewe aliamua nani atoweshwe nani akirimiwe.

Kina Makonda waliishi kama miungu watu, kina Polepole walijirekodi mpaka video wakicheza kwa kejeli kwenye mazulia mekundu kwenye majumba ya Serikali sisi wengine tulikaa kimya tukiamini mpanda ngazi hushuka.

Spika alimnyanyasa Lissu kama jambazi yaani Lissu alilia akanyamaza Mungu wake alimfuta machozi na nyie kina Ndugai mliyekuwa mnamtetemekea kafa sasa anaitwa mwendazake subirini na nyie mlipe yale mliyoyafanya enzi zenu mkiwa miungu watu.

Mama Samia Suluhu Hassan jitenge kabisa na hawa watu

Polepole
Cyprian Musiba
Bashiru Ally
Makonda
Ayoub Ryoba - Mkurugenzi wa TBC

Nk

Imeandikwa amelaaniwa amtegemeae binadamu.
Hili ni POVU la asiye kuwa na HOJA na ni mfano mzuri wa kukosa kitu cha kuzungumzia cha zidha kuujenga upande wako au kuubomoa upande mwingine, kinacho someka na maneno ya MFA MAJI, akijaribu kurudi ufukweni ambako pia hapajui, basi, anabaki kutapatapa tu ili mradi naye aonekane kasema kituhumu JF. Pole sana TOBOTEAM!
 

hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
42,740
2,000
Kaua sana watu huyu mtu, kawabambikia kesi maelfu ya watu Kwa kupitia mtu wake Biswalo Mganga, katisha sana watu na kuwateka na kuwapora fedha kupitia Makonda, Sabaya na Gambo.

Ukweli lazima usemwe. Sikumlilia Magufuli na kamwe sitomlilia. Alichokipata ni kielelezo tosha kuwa Mungu hadhiakiwi.
Mimi nimiongoni mwa walio shangilia Sana kifo chake na sijawahi kujuta kuhusu hilo
 

hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
42,740
2,000
Hahahahah

Kheri James alikuwa mwamba kweli kweli, eti Tukitaka tunaleta maendeleo na tusipotaka hatuleti na hamna cha kutufanya daah…tena hayo unawaambia Wanyonge wanaokusikiliza ukiomba kura

Ukitaka kumjua mtu mpe madaraka na fedha
Aisee
 

Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
21,128
2,000
Asilimia kubwa ya Watanzania waliona mema yake, Binafsi namshukuru Allah kwa kumleta Magufuli kaniachia funzo kuwa nikiamua naweza.

Watu aina ha Magufuli ua ni wachache sana, kwangu alikuwa Rais bora kuwahi kuona.

Pumzika Salama JPM.
Magufuli alikuwa mwizi.
 

mbwewe

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,948
2,000
Asilimia kubwa ya Watanzania waliona mema yake, Binafsi namshukuru Allah kwa kumleta Magufuli kaniachia funzo kuwa nikiamua naweza.

Watu aina ha Magufuli ua ni wachache sana, kwangu alikuwa Rais bora kuwahi kuona.

Pumzika Salama JPM.

Magufuli aliweza nn
 

Gebreyesus

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
7,590
2,000
Hili ni POVU la asiye kuwa na HOJA na ni mfano mzuri wa kukosa kitu cha kuzungumzia cha zidha kuujenga upande wako au kuubomoa upande mwingine, kinacho someka na maneno ya MFA MAJI, akijaribu kurudi ufukweni ambako pia hapajui, basi, anabaki kutapatapa tu ili mradi naye aonekane kasema kituhumu JF. Pole sana TOBOTEAM!
Mwambieni Sasa Cyprian Musiba polepole na wenzenu wa mataga watambe Kama walivyokuwa wanatamba enzi za mwendazake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom